Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss huyo waifu matirio naleta mahali,Habari zenu
Nina mdogo wangu wakike umri ni early 20s, amemaliza chuo mwaka jana mpaka sasa yupo tu home
Lakini wapi na amefaulu kwa mpango wa Mungu tu
Kama uhuni hana kabisaaa akitoroka anarudi home kufanya mambo yake
Sasa hizo akili mnazo sema ni zipi
Kwahiyo hii desturi ya vischana vidogo kupasuliwa bikra mapema mnataka kuihalalisha kabisa sio?
Kwamba kipimo cha tatizo la mtoto wa kike kuwa sawa ni kuwa na boyfriend?😂
hujajibu.Duh kwa kiasi maana hapendelei
Sijajaribu kwasababu nayo yafahamu huwa nasoma tu bila ulterior motive (kama kumtathmini)na yeye anakuepohujajibu.
Kachunguze anaandikaga nini, usihukumu kabla[emoji4]Tatizo yeye kazidi saaannaa ana shelf lake limejaa notebooks aina tofauti tofauti
Naam nilitaka kusema hivyo , of course katika jamii yetu watu wenye akili nyingi huwaga ningumu kueleweka mbele ya watu wa kawaida , huwa wanawaona wenye akili kuwa Wana matatizo kumbe wao ndio wenye matatizo makubwaKawazidi wote akili, actually nyie ndo mna shida
Mwenyewe sijui... Ila ni mdogo wangu najari hali yakeHzo notebook ww zinakusumbua nn?
Hujui nguvu kubwa aliyonayo ya kufikiri ndio maana unasema hivyo ,,Nakumbuka niliwahi pitia situation Kama hiyo ,, hapo kabla sikuwahi kukaa na wazazi wangu tangu nikiwa na umri wa miaka 16 , katika pilika zangu za utafutaji Kuna wakati nilipanda kiauchumi halafu ikaja Nika bankrupt , baada ya mapito Magumu ya muda mrefu ikanibidi nirudi home I mean home kabisa nikawa najipanga upya ,Tatizo yeye kazidi saaannaa ana shelf lake limejaa notebooks aina tofauti tofauti
Mh sijui nielezejeSorry, vipi ukimkosea anaweka kisasi ili nafsi yake iridhike au mwepesi wa kusamehe?
Na vipi akipanga jambo lake ni hadi litimie au ni mtu wa kuchukulia poa matokeo yoyote?
Iko hivyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Atakuwa na akili sana watu wenye akili sana wakikaa na watu wenye akili ya kawaida tunawaona ni vichaa.
Nahuyu huwa naulizwa na watu wanao muona, mi mwanzo nlikua naona utoto akini ni mda mrefu yupo hivi kuna siku nilimkuta anaandika kwenye notebook "Do you believe in miracles?" Nika muuliza why unaandika vitu useless akasema mtizamo wangu haumuhusu🤦🤦🤦🤦Hujui nguvu kubwa aliyonayo ya kufikiri ndio maana unasema hivyo ,,Nakumbuka niliwahi pitia situation Kama hiyo ,, hapo kabla sikuwahi kukaa na wazazi wangu tangu nikiwa na umri wa miaka 16 , katika pilika zangu za utafutaji Kuna wakati nilipanda kiauchumi halafu ikaja Nika bankrupt , baada ya mapito Magumu ya muda mrefu ikanibidi nirudi home I mean home kabisa nikawa najipanga upya ,
Sasa bwana Mimi nimpenzi wa kusoma notes mbali mbali ambazo huwa Zina bust obongo wangu kwaajili ya kuwa na hamasa ya utafutaji na kupigania malengo yangu katika Maisha , Basi nikawa nasoma. Quote mbali mbali na baadhi ya quote nilizokuwa nazipenda nikawa nazibandika chumbani kwangu ukutani ili niwe naziona kwa wepesi zaidi ,Nazichangie kuni hamasisha ,
Kumbe bwana ndugu zangu waliokuwa wanakuja home (brothers and sisters) walipokuwa Wana ingia ndani wakawa wanaziona zile posters wakawa wakitoka room kwangu Wana niongelea vibaya , Blaaaahh kibao nakwambia wako so negative , Mimi nasikia maneno toka kwa baadhi ya watu na wapuuza tu kwa sababu nilikuwa najua Nina chokifanya , bwana bwana bwana weeeee baaada ya muda mfupi walikuja kushangaa kilicho tokea mpaka leo wana heshima na adabu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ni kweli sisi tulijari aende shule tu na amalize sasa bado simuelewi ... Mama wala hawaziIko hivyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu Mara nyingi ndugu wa kiafrica huwaga ni wa mwisho kutambua vipaji vya ndugu zao kwa sababu huwaga Hawa tengi muda mzuri wakuzungumza na wenzao ili wapate kujua nguvu kubwa ya kufikiri waliyonayo vichwani mwao