Naomba ushauri: Namwambia aache pombe hataki. Nampenda sana siwezi kumuacha, nifanyeje?

Mkuu ebu toaa ushauri bana hv wewe umesoma pote umeona huo mstali wawisho tuu
Asiyependa pombe hana ushirikiano wowote na mlevi, ulevi na chochote kinachohusisha pombe hata kama ana mvuto kiasi gani. Ni ama wewe ni mlevi au hutaki ulevi na walevi na kumuachia milele
 
Ingia chamani apa ndio tunapata Supu kupunguza Hangover
Kuna maeneo hapa temeke asubuh saa moja.. bodaboda yupo kwenye pikipiki yake kaweka miguu Chini anakunywa bia...

Kwenda mbele kidogo jamaa Kama wa 4 wamezunguka meza wanapiga bia..hivi watu asubuh asubuh wanapata wapi nguvu za kunywa bia duu

Mimi nakunywaga sometimes Ila sijawai tumbukia kwenye Hilo kundi la watu wa bad..
 
Usiendeshwe na hisia tumia akili kima wewe
 
Asiyependa pombe hana ushirikiano wowote na mlevi, ulevi na chochote kinachohusisha pombe hata kama ana mvuto kiasi gani. Ni ama wewe ni mlevi au hutaki ulevi na walevi na kumuachia milele
Daaah maneno hatareee hayooo mkuuu
 

hahahaa pole poor,ila nimecheka
 
Usiseme hvo mwenzako napitia magumu
Kupenda boga napenda ila uwa lake hapana
Kweli kabisa,lkn we ulikosea tangu mwanzo kwa kuingia katika mahusiano bila ndoa,na hukujipa mda wa kumchunguza hadi kwao atokako,ni wapi,wanatabia gani nk,imani hasa ya kiislamu inaelezea vyema hilo,ili kuepuka mambo kama hayo yasitokee, ni mhimu sana lkn baadhi upuuza huu msingi,wanakimbilia Short cut,ushauri waone jamaa zake watu wengine unaowaheshimu na wakaribu wawapeni ushauri, ni hayo tu.
 
Katika hali ya kawaida ulevi siyo tatizo ila kama ukilewa unafanya vitendo vya hovyo hapo ndio tatizo, sasa siyo kila mtu akilewa hufanya vitendo vya hovyo, halafu unamaanisha ulevi ni tatizo kwa jinsia zote au kwa wanawake tu
Kwa mwanaume ulevi kupitiliza ni tatizo ila kwa mwanamke ni tatizo kubwa zaidi sana sana akiwa mke wa mtu, mwanamke ana ushawishi mkubwa kingono. Kumbuka kwenye suala la ngono mwanaume anawinda wakati mwanamke anawindwa na akilewa hii ni advantage kubwa sana kwa mwindaji. Halafu acheni ujinga wa kutaka ligi na mwanaume hata katika mambo ambayo yanawaweka nyie hatarini zaidi.
 
Unajuaje kama hataki kuacha, labda pombe ndio haitaki kumuacha!!! Msilaumu watu bila kufanya uchungu, inawezekana yeye ni victim tu.
 
Mkuu huyu ni mshangazi ujue....
Kumchunguza naanzaje sasa
 
Unajuaje kama hataki kuacha, labda pombe ndio haitaki kumuacha!!! Msilaumu watu bila kufanya uchungu, inawezekana yeye ni victim tu.
Uchunguzi w kina how l..
Mtu mmekutana ukubwani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…