Naomba ushauri: Namwambia aache pombe hataki. Nampenda sana siwezi kumuacha, nifanyeje?

Kama upo Dar...tafuta sehemu inaitwa Changamoto ni matumaini.......utapata msaaada....
 
Ndio maana nikasema kulewa siyo tatizo ila ukifanya vitendo vya hovyo baada ya kulewa ndio tatizo na si kila mtu hufanya hivyo, halafu kwanini umekariri kwamba kila mtu lazima alewee bar au kwenye umati kama mtu anapenda kulewea nyumbani huo ushawishi wa ngono utatoka wapi, kingine kwanini mnapenda kulazimisha kuwe na tofauti kati ya wanaume na wanawake kwenye kila kitu hata ambavyo vina madhara kwa wote, kwa mfano kwani madhara ya kiafya yatokanayo na pombe yanawapata wanawake tu au madhara ya kiafya yatokanayo na ngono yanawapata wanawake tu, kwanini kila uovu mnakemea kwa wanawake tu ila wanaume wakifanya mnaona ni sahihi halafu mnategemea eti jamii itabadilika what kind of logic is that
 
Kumuacha ndio solution pekee kijana na ndio huitaki, tunakuacha ufe na stress.

Tatizo la kwanza kabisa kajua unampenda sana, kwake hupindui, bila yeye huwezi kusimama hata na miguu miwili achilia wa 3 ambao unakamilisha UANAUME.

SWALI.
umri wako tafadhali.
 
Unadhani pesa za mshangazi zinaliwa buree? Ndo malipo hayo.
Poleee kwa kuwa mfungwa huru, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pombe ni mfumo utokao katika koo.hiyo ni Roho we Nan uitoe?! Unawezaje kuishinda hiyo Roho Wakat upo kwenye zinaa uinahangaika TU. Pombe ni Pepo la ukoo ni mkondo unafata
 
Mvumilie tu, Mimi Nina kama huyo...tukinywa aisee , tuna enjoy bed!
Church girls wamejaa vikoba tu.kikubwa muwe mnanywea home peke yenu.
 
Unadhani pesa za mshangazi zinaliwa buree? Ndo malipo hayo.
Poleee kwa kuwa mfungwa huru, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sio mfungwa sis.
Acha maneno yako
 
Mvumilie tu, Mimi Nina kama huyo...tukinywa aisee , tuna enjoy bed!
Church girls wamejaa vikoba tu.kikubwa muwe mnanywea home peke yenu.
Duuh wee mkuu umenena kweli kabisa kuhusu church girl
 
Pombe ni mfumo utokao katika koo.hiyo ni Roho we Nan uitoe?! Unawezaje kuishinda hiyo Roho Wakat upo kwenye zinaa uinahangaika TU. Pombe ni Pepo la ukoo ni mkondo unafata
Numependa mkuu
 
Mwanamke mlevi ni chakula kirahisi sana kwa wanaume walevi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…