Naomba ushauri: Namwambia aache pombe hataki. Nampenda sana siwezi kumuacha, nifanyeje?

Naishi kwa kujificha? Wapiii?
Mtaani mbna kila time naswampaa kupiga story na wadau etc.

Wee mfungwaa huru unanyweshwa pombe na huku hutakii.
Woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaaha wapi wewe mzembe tuu
 
Mkuu mbona ulikua na hatarrr ujue...
Hapa mimi najipanga nihame mtaa kabisa maana anapajua napo kaa aiseeee
 
Kuna umri wa kuteswa na mapenzi bro, mi nshauvuka nipo kwenye umri wa kuteswa na pesa.
 
That absolutely without a doubt you are brain is vere vere poor to make even poor deshisheni....

Unaniangushaa mkuu lala mbele kwani kashika mpini nini 🀣🀣🀣
 
Kuna umri wa kuteswa na mapenzi bro, mi nshauvuka nipo kwenye umri wa kuteswa na pesa.
Jambo ninalolishukuru mwenzako hayo mambo nishayapitia pia, ila mambo hayo huwaga kama jando, kama haujatahiriwa ujanani, waweza tahiriwa uzeeni.

Sasa mkuu kiri kama haya ushayapitia na kama bado usijivune bali yachukulie tahadhari kubwa sana, maana atanayeweza kukuliza aweza kuwa messanger wa ofisini kwako, anayeonekana kwa watu ni dhohari kwa haiba.

Mi nilimaliza zizi la ng'ombe wa babu nikiwa mshenga wa kuuza na kupeleka hela za hongo kwa kasichana kake, ni mzee over 70!

Kutafuta pesa ni jambo jingine na mapenzi ni kitu kingine, ndonatetea hoja hivyo.
 
Kwamba hadi nakaribia kustaafu nateseka, dah nitamkabidhi pensheni yangu yote πŸ€”
 
That absolutely without a doubt you are brain is vere vere poor to make even poor deshisheni....

Unaniangushaa mkuu lala mbele kwani kashika mpini nini 🀣🀣🀣
Kuna vitu tumechanga...
Yeye ndo kanunua camera zangu hapa ujue...
Nikisema nisepe akisepa na vtu vyake je how you is me ungefanyaje you will me
 
Wala usimkatie tamaa maana muda ukifika ataacha mwenyewe kwani yeye hatakuwa wakwanza kuacha. Bali wakati wake bado atakuja kuelewa unamaanisha nini kwake.
 
😹😹 basi unanitesa wewe 😏😏😏😏
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Daaah alafu kuna majamaa walikua wanakutafuta kule et wanasema ukatoe ushuhuda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…