Jambo ninalolishukuru mwenzako hayo mambo nishayapitia pia, ila mambo hayo huwaga kama jando, kama haujatahiriwa ujanani, waweza tahiriwa uzeeni.
Sasa mkuu kiri kama haya ushayapitia na kama bado usijivune bali yachukulie tahadhari kubwa sana, maana atanayeweza kukuliza aweza kuwa messanger wa ofisini kwako, anayeonekana kwa watu ni dhohari kwa haiba.
Mi nilimaliza zizi la ng'ombe wa babu nikiwa mshenga wa kuuza na kupeleka hela za hongo kwa kasichana kake, ni mzee over 70!
Kutafuta pesa ni jambo jingine na mapenzi ni kitu kingine, ndonatetea hoja hivyo.