Naomba ushauri: Namwambia aache pombe hataki. Nampenda sana siwezi kumuacha, nifanyeje?

Uwezi muachanisha na kitu uliyokuta anaitumia hata kabla hamjafahamiana, kwake pombe ni muhimu kukuzidi na haijawai kumsaliti. Wewe ndio unapaswa uachane nae kama hupendi
Wewe half American jaribu kutumia lugha nzuri unasemaje pombe muhimu kuliko mimi..
Hv wewe ukiambiwa hvo utajiskiaje mkuu
 
Tayari ushakula mjani wewe

Yao yao
Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم) amelaani aina ya watu kumi wanaohusika na pombe amesema: “
Mwenye kugema pombe,
mwenye kutaka afanyiwe,
mwenye kunywa,
na mwenye kubeba,
mwenye kubebewa,
mwenye kunywesha,
mwenye kuuza,
mwenye kula thamani yake,
mwenye kununua,
na mwenye kununuliwa.”
[At-Tirmidhiy na Ibn Maajah].
 
Bahati mbaya sijawahi kuwa mshauri wa vijana, wala kushauri mtu kitu chochote nje ya kazi. Mimi ni muumini mkubwa wa Live as you wish.
Wee jamaa una mambo hovyo kumbe..
Hvi kweli unaona mtu anajiingiza katika madawa unamuacha et kwa slogan yako hyo live as you wosh
 
Daaah mkuu namuachaje sasa..
Huu nao mtihani mzito
 
umekua teja wa mapenzi sio gentleman, na umezamishwa kwenye ulevi right?

dah! pole sana gentleman? hiyo ndiyo hali ya dunia, usisikitike sana.

mna shughuli za kufanya kweli, mathalani biashara? kama hamna, basi ni muhimu mkawa na kitu cha kufanya, na mfanye kwa bidii sana, ili angalau mkose muda wa kwenda kwenye kufakamia mapombe.

Muhimu zaidi,
inafaa umpelekee moto walau afululize kuzaa watoto mathalani wawili waliofuatana karibu karibu, na hapo utakua umemuwajibisha kwa faida na atakua na muda mchache sana wa kwenda kufakamia mapombe badala yake malezi ya watoto yatamkeep busy,

Akileta kimbelembele unamuongeza cha tatu chap kwa haraka na itapendeza zaidi?

au, je, unapitia changamoto ya nguvu za kijinsia na hiyo shughuli imekua ngumu ?🐒
 
Kwakuwa unampenda sana nawe anza/endelea kunywa naye sana tu kadri apendavyo wakati huo ukijitahidi kupambana utoboe zaidi na awe pregnant, from there slowly anza kumshawishi muache pombe wote.
Daaah at least umenipa darasa huru mkuu..
Shukran sana sijui kwanini umewaza hivo aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…