Naomba ushauri: Namwambia aache pombe hataki. Nampenda sana siwezi kumuacha, nifanyeje?

Naomba ushauri: Namwambia aache pombe hataki. Nampenda sana siwezi kumuacha, nifanyeje?

umekua teja wa mapenzi sio gentleman, na umezamishwa kwenye ulevi right?

dah! pole sana gentleman? hiyo ndiyo hali ya dunia, usisikitike sana.

mna shughuli za kufanya kweli, mathalani biashara? kama hamna, basi ni muhimu mkawa na kitu cha kufanya, na mfanye kwa bidii sana, ili angalau mkose muda wa kwenda kwenye kufakamia mapombe.

Muhimu zaidi,
inafaa umpelekee moto walau afululize kuzaa watoto mathalani wawili waliofuatana karibu karibu, na hapo utakua umemuwajibisha kwa faida na atakua na muda mchache sana wa kwenda kufakamia mapombe badala yake malezi ya watoto yatamkeep busy,

Akileta kimbelembele unamuongeza cha tatu chap kwa haraka na itapendeza zaidi?

au, je, unapitia changamoto ya nguvu za kijinsia na hiyo shughuli imekua ngumu ?🐒
Mkuu shughuli anayo ya kumfanya awe Bize sana tuu..
Ila siku za weekend kama hizi kwangu ndo shida huwaza..

Kama sasa kashanitafuta anasema nikanywe supu tusepe...
Najua hapa nikienda mpaka sa nne usiku seriously nachoka

Kuhusu mtoto daaah hiyo nayo changamoto mkuu wangu
 
Swali bado lipo kwako. Je hiyo tabia ya ulevi utaweza kuivumilia (hata asipoacha)? Kama utaweza endelea kama hauwezi achana nae. Ni hela kubaki na maumivu ya kuachana kuliko maumivu ya muda wote ya makosa ya ulevi (ngono zembe, dharau, kurudi usiku, magonjwa, n.k)
Nifanyaje ili aache mkuu ndo hapa napambana ujueeee
 
Mkuu shughuli anayo ya kumfanya awe Bize sana tuu..
Ila siku za weekend kama hizi kwangu ndo shida huwaza..

Kama sasa kashanitafuta anasema nikanywe supu tusepe...
Najua hapa nikienda mpaka sa nne usiku seriously nachoka

Kuhusu mtoto daaah hiyo nayo changamoto mkuu wangu
hiyo ndiyo muhimu gentleman,
ukifyatulisha ka kid utaona mambo yanabadilika kwa haraka mno, coz love itashift kutoka kwenye pombe kuja kwa mtoto

fanya hili hata kwa bahati mbaya otherwise huenda huna future nae 🐒
 
Back
Top Bottom