Titia
Senior Member
- Jul 3, 2013
- 155
- 114
Habari wana jamii,
Naomba mnishauri, mimi ni mfanyakazi serikalini. Muda mrefu nafikiria biashara ya kufanya lakini nashindwa. Sasa hivi nimeamua kuanza kufuga kuku chotara. Nataka kununua kuku chotara vifaranga mia moja. Nivitunze na kuvilisha vzr, lengo nataka muda ukifika 40 niviuze halafu 60 nivibakishe kwa ajili ya kutaga mayai ya kuuza.
Lengo nataka niwe nauza mayai angalau kila siku tray moja litoke, sihitaji faida kubwa sana kwa sasa, nahitaji tu ela izunguke na irudi angalau faida kidogo. Niweze kujikimu mahitaji madogomadogo bila kutegemea sana mshahara.
Sasa ninaomba wataalamu mnisaidie kwa ufugaji huo mdogo nitapata faida hata kidogo au itanikata mazima.
Pia nataka kupata uzoefu kabla sijatumbukia kufuga kuku wengi zaidi ya hao.
Naombeni ushauri wenu wana jamii.
Natanguliza shukrani.
Nb. Pia naomba ushauri aina nzuri ya kuku chotara wanafaa kwa nyama na mayai.