Naomba ushauri, nataka kufuga kuku chotara kidogo kwa ajili ya kuongeza mzunguko wa hela

Unaweza nipa mchanganuo wa sasso 1000 kutoka wiki 6-8..!pia naomba kujua unalisha mfuko tu mwanzo mwisho au
MCHANGANUO WA KUKU 100 TANBRO

Vifaranga 100 = 140,000
Maranda gunia 2 =1,000
Usafiri kuleta maranda = 4,000(nakaa 8km from town)
Usafiri kuleta vifaranga = 5,000
Mkaa = 12,500
Vitamin ya kuanzishia(amino total) = 12,000
Glucose packet 1 = 1,000
Dawa ya kuanzishia vfaranga[Tetracolivit] = 10,000
Starter mifuko 2 = 152,000
Usafiri kuleta starter = 1,000
Chanjo Newcastle = 5,000
Usafiri kuleta chanjo = 2,000
Chanjo Gumboro = 5,000
Usafiri kuleta chanjo = 2,000
Chanjo Newcastle = 5,000(unarudia siku ya 21)
Usafir kuleta chanjo = 2000

[GUMBORO SIRUDIAGI ILA UNATAKIWA KURUDIA SO UKIRUDIA JUMLISHA GHARAMA YA CHANJO NA USAFIRI KUILETA]

Grower mifuko 2 = 145,000
Usafiri kuleta grower = 1,000
Chanjo ya ndui = 10,000
Usafiri kuleta chanjo = 2,000

[NDUI NACHOMA MWENYEWE,UKITAKA UCHOMEWE NA MTU NI 200 KWA KUKU MMOJA]

Finisher mifuko 2 = 142,000
Usafiri kuleta finisher = 1,000

JUMLA KUU = 660,000
 
Huo mkaa wa Tsh 12,500 wanautumia kwa muda wa siku ngapi ? Na baada ya wiki nane unayosema kuwa unaanza kuwauza, wanakuwa na weight Gani ?
 
MCHANGANUO WA KUKU 100 TANBRO

Vifaranga 100 = 140,000
Maranda gunia 2 =1,000
Usafiri kuleta maranda = 4,000(nakaa 8km from town)
Usafiri kuleta vifaranga = 5,000
Mkaa = 12,500
Vitamin ya kuanzishia(amino total) = 12,000
Glucose packet 1 = 1,000
Dawa ya kuanzishia vfaranga[Tetracolivit] = 10,000
Starter mifuko 2 = 152,000
Usafiri kuleta starter = 1,000
Chanjo Newcastle = 5,000
Usafiri kuleta chanjo = 2,000
Chanjo Gumboro = 5,000
Usafiri kuleta chanjo = 2,000
Chanjo Newcastle = 5,000(unarudia siku ya 21)
Usafir kuleta chanjo = 2000

[GUMBORO SIRUDIAGI ILA UNATAKIWA KURUDIA SO UKIRUDIA JUMLISHA GHARAMA YA CHANJO NA USAFIRI KUILETA]

Grower mifuko 2 = 145,000
Usafiri kuleta grower = 1,000
Chanjo ya ndui = 10,000
Usafiri kuleta chanjo = 2,000

[NDUI NACHOMA MWENYEWE,UKITAKA UCHOMEWE NA MTU NI 200 KWA KUKU MMOJA]

Finisher mifuko 2 = 142,000
Usafiri kuleta finisher = 1,000

JUMLA KUU = 660,000
Halafu unauza 8000x100=800,000/= SI umesema wiki ya 8 unasukuma sokoni ...800,000 - 660,000= 140,000. Kwa 10,000 sokoni aendi!!??
 
MCHANGANUO WA KUKU 100 TANBRO

Vifaranga 100 = 140,000
Maranda gunia 2 =1,000
Usafiri kuleta maranda = 4,000(nakaa 8km from town)
Usafiri kuleta vifaranga = 5,000
Mkaa = 12,500
Vitamin ya kuanzishia(amino total) = 12,000
Glucose packet 1 = 1,000
Dawa ya kuanzishia vfaranga[Tetracolivit] = 10,000
Starter mifuko 2 = 152,000
Usafiri kuleta starter = 1,000
Chanjo Newcastle = 5,000
Usafiri kuleta chanjo = 2,000
Chanjo Gumboro = 5,000
Usafiri kuleta chanjo = 2,000
Chanjo Newcastle = 5,000(unarudia siku ya 21)
Usafir kuleta chanjo = 2000

[GUMBORO SIRUDIAGI ILA UNATAKIWA KURUDIA SO UKIRUDIA JUMLISHA GHARAMA YA CHANJO NA USAFIRI KUILETA]

Grower mifuko 2 = 145,000
Usafiri kuleta grower = 1,000
Chanjo ya ndui = 10,000
Usafiri kuleta chanjo = 2,000

[NDUI NACHOMA MWENYEWE,UKITAKA UCHOMEWE NA MTU NI 200 KWA KUKU MMOJA]

Finisher mifuko 2 = 142,000
Usafiri kuleta finisher = 1,000

JUMLA KUU = 660,000
Hapo,unaweza kupunguza gharama vitu vingi,mfano unatoa hiyo vitamin,unatoa glucose,na usafiri naweka mara moja tu.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo Hapo unakuwa umetengeneza faida ya tshs 140,000 Kwa kuku 100 Kwa miezi 2 Kwa maana ya wiki 8!!?? Duuuuh kazi ipo ....inalipa kweli!!??
Inategemea sasa kwako kulipa ni nini
Unakuta mtu ana kuku 500 anaotoa each batch na kila baada ya mwezi anaingiza wengne so mtaji wako ndo una dertermine kama inalipa or not
 
Hapo,unaweza kupunguza gharama vitu vingi,mfano unatoa hiyo vitamin,unatoa glucose,na usafiri naweka mara moja tu.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Mfano hizo chanjo huwez zinunua zote siku moja,zinahtaji ubaridi
Usafiri wa vyakula kama una mtaji wa moja kwa moja yes u can order na kama una eneo kubwa la kuhifadhia

Pia inategemeana na mazingira,kwangu mm iko hivo ila mwngne mayb anakaa karbu na wanapouza chanjo/vifaranga/maranda so kwake cost za usafiri ni zero

Ukitoa vitamin sasa kuku watapata wap vtamin cz hii ni zero grazing..
 
Inategemea sasa kwako kulipa ni nini
Unakuta mtu ana kuku 500 anaotoa each batch na kila baada ya mwezi anaingiza wengne so mtaji wako ndo una dertermine kama inalipa or not
Nimeuliza kwako maana ulisema unafuga 100 Moro, na umesema ni wiki 8 Kwa hiyo ni miezi miwili sio Mmoja kama ulivyojibu hapa Kwa mwezi yaani wiki 4 ..... Tupeane uhalisia kama mtu anajaribu anajaribu akiwa na parameters ambazo ni known sio za kubuni.
 
Baada ya wiki 4 unaingza vfaranga wakat una vngne ambavo vina mwezi...
So wanapishana wiki nne nne
 
Nimeuliza kwako maana ulisema unafuga 100 Moro, na umesema ni wiki 8 Kwa hiyo ni miezi miwili sio Mmoja kama ulivyojibu hapa Kwa mwezi yaani wiki 4 ..... Tupeane uhalisia kama mtu anajaribu anajaribu akiwa na parameters ambazo ni known sio za kubuni.
Kuna mtu huko juu aliomba mchanganuo wa sasso elfu moja..mm nkampa wa mia ili azidishe ila hakuna pahala ambapo nmesema nafuga 100 exactly..idadi inategemea na mtaji
 
Sawa boss SEMA mkaa, siku tatu naona kama Bado wanakuwa wadogo so watakuwa wanahitaji joto Bado, specifically kwenye kipindi kama hiki Cha baridi. Mi wangu naweza tumia mkaa hata kwenda 2 weeks SEMA Huwa napunguza kadri wanavyokuwa.
Exactly,
Mm kupunguza cost ya mkaa nawazungushia turubai carefully kuzunguka brooder
 
Hapa nmekupata fresh boss, Hawa TANBRO Huwa una order kwenye kampuni Gani ? Maana mimi nineorder interchick kupitia kwa wakala wao ila Sasa hizo sound nnazopigwa mpaka Sasa Nina +month sijapata mzigo wangu yaani kila week naambiwa wiki ijayo yaani napigishwa sound tu yaani natamani kwenda CHUKUA Hela yangu koz najuwa watanipa tu but the thing nilishaset mipango na plans za kumfuga TANBRO yaani ni changamoto asee.
 
Yes ni huko huko interchick na deal ni kubwa sana,wanasema now baridi vfaranga vnasumbua
 
Back
Top Bottom