Naomba Ushauri: Ni biashara gani inaweza ikanitoa chap kwenye kamkwamo?

Naomba Ushauri: Ni biashara gani inaweza ikanitoa chap kwenye kamkwamo?

05CUBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2025
Posts
1,106
Reaction score
1,650
Nahitaji mawazo wanaume wenzang ... let's put jokes aside ....

Habari zenu nyote??

Mishe Zang zimekwama kabisa wakuu, naombeni ushaur naeza piga mishe gan chap chap nichomoke kwenye kamsoto nnakopitia ??

Hata kama kuna deal mikoa ya nyanda za juu kusini naombeni connection , ila iwe ni deal la mda mfupi (temporary) maana ni kwamba nimeanguka sio kwamba Sina mwelekeo kabisa.

Edit: Kama kuna mzee yupo chunya.... na ana connection hata ya mda mfupi tu plz 🙏

Edit: kuhusu uaminifu deals za mbali naweza jilipia nauri mwenyewe kuzifata, na nikajihudumia right away ikiwa kama malipo ni per day.

Edit: kama kuna biashara ya bidhaa ndogo ndogo zenye mzunguko mkubwa naweza jumua pia. Nipeni ushauri. Bila mipaka.
 
Kila siku Daslamu watu wanajenga kusaidia fundi per day 1,5000/=

ushauri bora mkuu,
Ila mkuu nipo huku nyanda za juu kusini,
Japo dar mbali ila nikipata location, na walau mwenyeji siwez feli kujilipia nauri nikaja nikapiga mishe kininja ninja hata myezi miwili mitatu . Nakua nipo tayar kurudi tena home.
 
ITAKUA cjaelewa!! Bila capital?
Kazi ni kipimo cha utu
Mtaji kidogo sana naweza Pata.

Nahitaji wazo .

Lakini pia kama kuna deal sehem itakua bora sabab nahitaji kutuliza kichwa Kayla sijard kwenye biashara tena. .. so kazi hata ikiwa ya chini itasave kama fursa ya kupata utulivu Kwang.
 
Asikudanganye mtu. Mtaani hali ni tete. Kwa sasa biashara inayolipa ni ile ya uchawa tu na kulamba miguu wanasiasa.
Hehehe .... mimi ni kada ila uchawa bwana siuwezi no fedheha kubwa.

Pakupongeza napongeza PA kukosoa nakosoa right away.

#### ila tuwe serious .. mda wa kampong ukifika kama utakua unagombea unaweza nicheck. But kwa sasa I need some means to survive.
 
Nahitaji mawazo wanaume wenzang ... let's put jokes aside ....

Habari zenu nyote??

Mishe Zang zimekwama kabisa wakuu, naombeni ushaur naeza piga mishe gan chap chap nichomoke kwenye kamsoto nnakopitia ??

Hata kama kuna deal mikoa ya nyanda za juu kusini naombeni connection , ila iwe ni deal la mda mfupi (temporary) maana ni kwamba nimeanguka sio kwamba Sina mwelekeo kabisa.

Edit: Kama kuna mzee yupo chunya.... na ana connection hata ya mda mfupi tu plz 🙏

Edit: kuhusu uaminifu deals za mbali naweza jilipia nauri mwenyewe kuzifata, na nikajihudumia right away ikiwa kama malipo ni per day.

Edit: kama kuna biashara ya bidhaa ndogo ndogo zenye mzunguko mkubwa naweza jumua pia. Nipeni ushauri. Bila mipaka.
Uza bangi
 
Ili ushauri unyooke tuambie kabla ya kuanguka kidogo ulikua unafanya nini na kwa nini ulianguka? Tusije kukushauri kufanya kile kile ulichofanya kwa njia zile zile zilizokuangusha.

Hebu funguka ili tufunguke ya maana.

Nimefanya kazi kwenye taasisi binafsi kwa myaka mitatu , nikapata kimtaji nikafanya issue ya usindikaje maziwa kwa myaka miwili.
From there mambo ya kifamilia yakaniyumbisha .

That's enough I bet.

Ukitaka reference Zaid naweza kuzitoa ikiwa zitakua na maana ili kunipa connection ya deal lolote .
 
Back
Top Bottom