Naomba Ushauri: Ni biashara gani inaweza ikanitoa chap kwenye kamkwamo?

Naomba Ushauri: Ni biashara gani inaweza ikanitoa chap kwenye kamkwamo?

Nahitaji mawazo wanaume wenzang ... let's put jokes aside ....

Habari zenu nyote??

Mishe Zang zimekwama kabisa wakuu, naombeni ushaur naeza piga mishe gan chap chap nichomoke kwenye kamsoto nnakopitia ??

Hata kama kuna deal mikoa ya nyanda za juu kusini naombeni connection , ila iwe ni deal la mda mfupi (temporary) maana ni kwamba nimeanguka sio kwamba Sina mwelekeo kabisa.

Edit: Kama kuna mzee yupo chunya.... na ana connection hata ya mda mfupi tu plz 🙏

Edit: kuhusu uaminifu deals za mbali naweza jilipia nauri mwenyewe kuzifata, na nikajihudumia right away ikiwa kama malipo ni per day.

Edit: kama kuna biashara ya bidhaa ndogo ndogo zenye mzunguko mkubwa naweza jumua pia. Nipeni ushauri. Bila mipaka.
Viazi mviringo mkuu,unatoka Mbeya,njombe_Dodoma chap!
 
Kaka weka jokes pembeni ,
Ni PM kama fursa ipo.
Kua Pusha biashara inalipa ila kula vizuri na maafande ili wasije wakaiua biashara yako maana hawachelewi kumuita DCI sijui DCA sijui DCEA Renatus Lymo usipowapa mgao wao
 
Back
Top Bottom