Figure kama nimeielewa imenivutia sana hii, ipe locationKila siku Daslamu watu wanajenga kusaidia fundi per day 1,5000/=
Kila siku Daslamu watu wanajenga kusaidia fundi per day 1,5000/=
Mtaji kidogo sana naweza Pata.ITAKUA cjaelewa!! Bila capital?
Kazi ni kipimo cha utu
Kua Pusha miezi 2 ushashusha mjengo Gobanaeza piga mishe gan chap chap nichomoke kwenye kamsoto nnakopitia ??
Hehehe .... mimi ni kada ila uchawa bwana siuwezi no fedheha kubwa.Asikudanganye mtu. Mtaani hali ni tete. Kwa sasa biashara inayolipa ni ile ya uchawa tu na kulamba miguu wanasiasa.
Mkuu kuwa pusha inabidi uwe vizuri kimfuko ili ukiingia mikononi mwa askari iwe simple kuzima motoKua Pusha miezi 2 ushashusha mjengo Goba
Uza bangiNahitaji mawazo wanaume wenzang ... let's put jokes aside ....
Habari zenu nyote??
Mishe Zang zimekwama kabisa wakuu, naombeni ushaur naeza piga mishe gan chap chap nichomoke kwenye kamsoto nnakopitia ??
Hata kama kuna deal mikoa ya nyanda za juu kusini naombeni connection , ila iwe ni deal la mda mfupi (temporary) maana ni kwamba nimeanguka sio kwamba Sina mwelekeo kabisa.
Edit: Kama kuna mzee yupo chunya.... na ana connection hata ya mda mfupi tu plz 🙏
Edit: kuhusu uaminifu deals za mbali naweza jilipia nauri mwenyewe kuzifata, na nikajihudumia right away ikiwa kama malipo ni per day.
Edit: kama kuna biashara ya bidhaa ndogo ndogo zenye mzunguko mkubwa naweza jumua pia. Nipeni ushauri. Bila mipaka.
Ili ushauri unyooke tuambie kabla ya kuanguka kidogo ulikua unafanya nini na kwa nini ulianguka? Tusije kukushauri kufanya kile kile ulichofanya kwa njia zile zile zilizokuangusha.
Hebu funguka ili tufunguke ya maana.