Naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair

Naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair

Tulia kwanza hadi upate uhakika wa mtoto kuzaliwa, kusema mimba tu haitoshi, usifanye maamuzi yoyote kwa Sasa ila endelea kutafakali Cha kufanya Hadi muda huo utapatajibu. Ukishindwa wewe ku solve nature itaamua.
 
Huyo mwenye mimba kajilengesha na badaye atakusumbua sana,
Mchunguze kama amelelewa na baba na Mama!

Ukitaka kuoa kama mama wa mwanamke yupo hai jua tabia za mkwe wako utapata picha aina ya mke utakaye oa!
 
Back
Top Bottom