Ongeza mwingine umtie mimba si kataka mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeza mwingine umtie mimba si kataka mwenyewe
Mimi nawajau watu kadhaa walioa sababu ya ujauzito, na maisha yanaenda poa.Ukioa kisa mimba utahesabu tu siku kabla ya majuto kuanza
Tulia mwanawane hapo mbona unacheza kama messi tuu.Habari yenu ndugu zangu.
Niende kwenye mada.
Mimi nina mchumba wangu toka mwaka juzi tupo kwenye uchumba na mwakani tumepanga kufunga ndoa.
Sasa mwaka jana mwezi wa 6 nilipata transfer nikahamia mkoa mwingine (Kaskazini hukuhuku).
Sikuweza kuhama na mchumba wangu kwasababu hatukuwa tunaishi pamoja hata hapo awali na alikuwa na mishe zake anafanya kwahyo nikamuacha huko mkoani (nilipohamia ni mkoa jirani tu na alipo yeye).
Sasa mwezi wa 9 nikakutana na binti mmoja katika mazingira ambayo yalifanya tubadilishane namba na hatimaye tukaanza kuwasiliana na kujikita tupo kwenye mahusiano ya rasharasha.
Kadri siku zilivokuwa zinaenda mapenzi yakaanza kukolea.
Wiki iliyopita alianza kunambia anajisikia vibaya mara kichwa mara kichefu chefu mara tumbo.
Majuzi kaenda kupima kaambiwa ana mimba ya wiki mbili kasoro na highly probably ni mimba yangu kwahesabu nilizopiga na hata hivo binti hana mambo mengi.
Nipo nawaza mchumba wangu itakuwaje, ananipenda nampenda hajanikosea anajua kabisa ni lazima nitamuoa na tayari huku binti naye nishampa ujauzito na yeye ananipenda sana tu sielewi cha kufanya.
Binti kashaanza kusema mimba hatoi na ofcourse na mimi sitaki aitoe kibaya zaidi anasema anahitaji kupajua kwetu na kujua ndugu zangu in case ikitokea lolote basi ajue anaanzia wapi.
Huyu mchumba wangu simu kila mara sijui kanusa nini yani simu na meseji ni almost kila muda na huyu Binti nilichokosea sikumwambia kwamba nina mchumba na tuna mpango wa kuja kufunga ndoa.
Plz naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair.
View attachment 3194170
Weee uliona wapi mpenda ngono anatumia konddom...huyo ni mpiga nyeto tuu aliye changamkaLakin pia vijana mbona mnapenda sana kujiingiza kwenye mattzo na migogoro wakat kondomu zipo
Pekupeku ni tamu ila ni chungu km huna malengo na mtu uyo
I can guess uliyempa mimba ni kabila la wairaq /wambulu,any way wee mwambie mwenye mimba una mchumba mmeshapiga hatuaHabari yenu ndugu zangu.
Niende kwenye mada.
Mimi nina mchumba wangu toka mwaka juzi tupo kwenye uchumba na mwakani tumepanga kufunga ndoa.
Sasa mwaka jana mwezi wa 6 nilipata transfer nikahamia mkoa mwingine (Kaskazini hukuhuku).
Sikuweza kuhama na mchumba wangu kwasababu hatukuwa tunaishi pamoja hata hapo awali na alikuwa na mishe zake anafanya kwahyo nikamuacha huko mkoani (nilipohamia ni mkoa jirani tu na alipo yeye).
Sasa mwezi wa 9 nikakutana na binti mmoja katika mazingira ambayo yalifanya tubadilishane namba na hatimaye tukaanza kuwasiliana na kujikita tupo kwenye mahusiano ya rasharasha.
Kadri siku zilivokuwa zinaenda mapenzi yakaanza kukolea.
Wiki iliyopita alianza kunambia anajisikia vibaya mara kichwa mara kichefu chefu mara tumbo.
Majuzi kaenda kupima kaambiwa ana mimba ya wiki mbili kasoro na highly probably ni mimba yangu kwahesabu nilizopiga na hata hivo binti hana mambo mengi.
Nipo nawaza mchumba wangu itakuwaje, ananipenda nampenda hajanikosea anajua kabisa ni lazima nitamuoa na tayari huku binti naye nishampa ujauzito na yeye ananipenda sana tu sielewi cha kufanya.
Binti kashaanza kusema mimba hatoi na ofcourse na mimi sitaki aitoe kibaya zaidi anasema anahitaji kupajua kwetu na kujua ndugu zangu in case ikitokea lolote basi ajue anaanzia wapi.
Huyu mchumba wangu simu kila mara sijui kanusa nini yani simu na meseji ni almost kila muda na huyu Binti nilichokosea sikumwambia kwamba nina mchumba na tuna mpango wa kuja kufunga ndoa.
Plz naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair.
View attachment 3194170
NashukuruMueleze hali halisi mchumba wako na kumupmba msamaha. Kama anakupenda atakusamehe na mtapanga mikakati ya kumlea huyo mtoto. Akiamua kusepa basi oa wa mimba.
Akikusamehe muoe chapi kisha ndio umchane kuwa ulikuwa na mchumba na umeshaoa.
ACHA UZINZI, kila jambo linamatokeo
Sidhani kama upo sahihiUPT haisomi kwa siku 14 ila inasoma kwa siku 21 na kuenselea
Huyo mwenye mimba oa....naomba namba ya huyo mchumba ako awe wangu basi ntakutoa 10000Tzsh mwisho wa mwezi JanuaryHabari yenu ndugu zangu.
Niende kwenye mada.
Mimi nina mchumba wangu toka mwaka juzi tupo kwenye uchumba na mwakani tumepanga kufunga ndoa.
Sasa mwaka jana mwezi wa 6 nilipata transfer nikahamia mkoa mwingine (Kaskazini hukuhuku).
Sikuweza kuhama na mchumba wangu kwasababu hatukuwa tunaishi pamoja hata hapo awali na alikuwa na mishe zake anafanya kwahyo nikamuacha huko mkoani (nilipohamia ni mkoa jirani tu na alipo yeye).
Sasa mwezi wa 9 nikakutana na binti mmoja katika mazingira ambayo yalifanya tubadilishane namba na hatimaye tukaanza kuwasiliana na kujikita tupo kwenye mahusiano ya rasharasha.
Kadri siku zilivokuwa zinaenda mapenzi yakaanza kukolea.
Wiki iliyopita alianza kunambia anajisikia vibaya mara kichwa mara kichefu chefu mara tumbo.
Majuzi kaenda kupima kaambiwa ana mimba ya wiki mbili kasoro na highly probably ni mimba yangu kwahesabu nilizopiga na hata hivo binti hana mambo mengi.
Nipo nawaza mchumba wangu itakuwaje, ananipenda nampenda hajanikosea anajua kabisa ni lazima nitamuoa na tayari huku binti naye nishampa ujauzito na yeye ananipenda sana tu sielewi cha kufanya.
Binti kashaanza kusema mimba hatoi na ofcourse na mimi sitaki aitoe kibaya zaidi anasema anahitaji kupajua kwetu na kujua ndugu zangu in case ikitokea lolote basi ajue anaanzia wapi.
Huyu mchumba wangu simu kila mara sijui kanusa nini yani simu na meseji ni almost kila muda na huyu Binti nilichokosea sikumwambia kwamba nina mchumba na tuna mpango wa kuja kufunga ndoa.
Plz naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair.
View attachment 3194170
we jamaa umenivunja mbavu"Gusa Achia,,Twende Kwao"
Umejua aje mimba n wiki mbili kasoro kwa kipimo hicho cha mkojo wewe kengeKwahiyo mimba siyo yangu au sio?
Unanitukana kwasabab gani? Kenge mwenyewe dog weweUmejua aje mimba n wiki mbili kasoro kwa kipimo hicho cha mkojo wewe kenge