Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Mkuu usilete utani
Sawa mkuu
Kwani huyu uliyempa mimba humpendi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usilete utani
NampendaSawa mkuu
Kwani huyu uliyempa mimba humpendi?
Acha ujinga , mimba siyo kigezo muoe mchumba wako wa siku nyingi.SIKUAMINI NA LEO TENA NIMETOKA KUCHUKUA VIPIMO NIMEMPIMA HOME IMO WAZEE NASHINDWA KUELEWA CHA KUFANYA NAANZAJE KUMWAMBIA UKWELI MCHUMBA WANGU NA NAJIULIZA HII DISAPPOINTMENT NITAIHENDO VIPI
Basi achana na yule baki na huyuNampenda
Bado Muda Tunao MwingiHairuhusu
Mkuu nadhani wewe ndo unatakiwa kusema kati ya hao yupi unamuoa?? Kama unaoa wa kwanza huyo unalea mtoto lazima uingie gharama ya kukomboa. Ila angalia usije kuja kujutia baadaeHabari yenu ndugu zangu.
Niende kwenye mada.
Mimi nina mchumba wangu toka mwaka juzi tupo kwenye uchumba na mwakani tumepanga kufunga ndoa.
Sasa mwaka jana mwezi wa 6 nilipata transfer nikahamia mkoa mwingine (Kaskazini hukuhuku).
Sikuweza kuhama na mchumba wangu kwasababu hatukuwa tunaishi pamoja hata hapo awali na alikuwa na mishe zake anafanya kwahyo nikamuacha huko mkoani (nilipohamia ni mkoa jirani tu na alipo yeye).
Sasa mwezi wa 9 nikakutana na binti mmoja katika mazingira ambayo yalifanya tubadilishane namba na hatimaye tukaanza kuwasiliana na kujikita tupo kwenye mahusiano ya rasharasha.
Kadri siku zilivokuwa zinaenda mapenzi yakaanza kukolea.
Wiki iliyopita alianza kunambia anajisikia vibaya mara kichwa mara kichefu chefu mara tumbo.
Majuzi kaenda kupima kaambiwa ana mimba ya wiki mbili kasoro na highly probably ni mimba yangu kwahesabu nilizopiga na hata hivo binti hana mambo mengi.
Nipo nawaza mchumba wangu itakuwaje, ananipenda nampenda hajanikosea anajua kabisa ni lazima nitamuoa na tayari huku binti naye nishampa ujauzito na yeye ananipenda sana tu sielewi cha kufanya.
Binti kashaanza kusema mimba hatoi na ofcourse na mimi sitaki aitoe kibaya zaidi anasema anahitaji kupajua kwetu na kujua ndugu zangu in case ikitokea lolote basi ajue anaanzia wapi.
Huyu mchumba wangu simu kila mara sijui kanusa nini yani simu na meseji ni almost kila muda na huyu Binti nilichokosea sikumwambia kwamba nina mchumba na tuna mpango wa kuja kufunga ndoa.
Plz naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair.
Mimba sio ya mwanamke ni ya wote wawili.
Kwhy maamuzi yoyote atakayochukua yamuathiri na yeye pia.
Nitake radhi Mkuu 😂 ... Mimi wa kusinzia ? Si nitawabwaga abira kwenye hili basi la Katoro!Huu ushauri ni mzuri lakini hiyo sentensi yako ya mwisho umeandika ukiwa unaelekea kusinzia.
Labda una energy drink.Nitake radhi Mkuu 😂 ... Mimi wa kusinzia ? Si nitawabwaga abira kwenye hili basi la Katoro!
Pimeni na HIV na STD zote,Habari yenu ndugu zangu.
Niende kwenye mada.
Mimi nina mchumba wangu toka mwaka juzi tupo kwenye uchumba na mwakani tumepanga kufunga ndoa.
Sasa mwaka jana mwezi wa 6 nilipata transfer nikahamia mkoa mwingine (Kaskazini hukuhuku).
Sikuweza kuhama na mchumba wangu kwasababu hatukuwa tunaishi pamoja hata hapo awali na alikuwa na mishe zake anafanya kwahyo nikamuacha huko mkoani (nilipohamia ni mkoa jirani tu na alipo yeye).
Sasa mwezi wa 9 nikakutana na binti mmoja katika mazingira ambayo yalifanya tubadilishane namba na hatimaye tukaanza kuwasiliana na kujikita tupo kwenye mahusiano ya rasharasha.
Kadri siku zilivokuwa zinaenda mapenzi yakaanza kukolea.
Wiki iliyopita alianza kunambia anajisikia vibaya mara kichwa mara kichefu chefu mara tumbo.
Majuzi kaenda kupima kaambiwa ana mimba ya wiki mbili kasoro na highly probably ni mimba yangu kwahesabu nilizopiga na hata hivo binti hana mambo mengi.
Nipo nawaza mchumba wangu itakuwaje, ananipenda nampenda hajanikosea anajua kabisa ni lazima nitamuoa na tayari huku binti naye nishampa ujauzito na yeye ananipenda sana tu sielewi cha kufanya.
Binti kashaanza kusema mimba hatoi na ofcourse na mimi sitaki aitoe kibaya zaidi anasema anahitaji kupajua kwetu na kujua ndugu zangu in case ikitokea lolote basi ajue anaanzia wapi.
Huyu mchumba wangu simu kila mara sijui kanusa nini yani simu na meseji ni almost kila muda na huyu Binti nilichokosea sikumwambia kwamba nina mchumba na tuna mpango wa kuja kufunga ndoa.
Plz naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair.
View attachment 3194170
Anaweza kuoa wa huyo mpenzi wake wa mwanzo , na still mambo yakawa hovyo.Mwambie ukweli yule wa mwanzo
Akikubali kusamehe muoe huyo
Akikataa hata huyo mwenye mimba usimuoe,utajuta huko mbele
Btw acha zinaa ukimwi upo,
Ukioa kisa mimba utahesabu tu siku kabla ya majuto kuanzaAnaweza kuoa wa huyo mpenzi wake wa mwanzo , na still mambo yakawa hovyo.
KWangu mimi priority ni huyo mwenye ujauzito, labda kama hana sifa hata moja ya kufaa kuwa mke.
Kilikukuta kipi kiongozi......"Usithubutu kuoa kwa kigezo Cha mimba"nimekoma