B Brownz Member Joined Jun 28, 2018 Posts 62 Reaction score 99 Jan 11, 2025 #181 Tulia kwanza hadi upate uhakika wa mtoto kuzaliwa, kusema mimba tu haitoshi, usifanye maamuzi yoyote kwa Sasa ila endelea kutafakali Cha kufanya Hadi muda huo utapatajibu. Ukishindwa wewe ku solve nature itaamua.
Tulia kwanza hadi upate uhakika wa mtoto kuzaliwa, kusema mimba tu haitoshi, usifanye maamuzi yoyote kwa Sasa ila endelea kutafakali Cha kufanya Hadi muda huo utapatajibu. Ukishindwa wewe ku solve nature itaamua.
S SIGN nail Senior Member Joined May 7, 2017 Posts 162 Reaction score 131 Jan 11, 2025 #182 MtotoKautaka said: Unanitukana kwasabab gani? Kenge mwenyewe dog wewe Click to expand... TUlia basi mdogo wangu ....wewe n kenge embu nambie ilikua aje nipe namba ya huyo mchumba ako
MtotoKautaka said: Unanitukana kwasabab gani? Kenge mwenyewe dog wewe Click to expand... TUlia basi mdogo wangu ....wewe n kenge embu nambie ilikua aje nipe namba ya huyo mchumba ako
The Garang JF-Expert Member Joined Jan 16, 2018 Posts 2,880 Reaction score 4,830 Jan 11, 2025 #183 Simon10 said: Fanya maisha na unayejua background yake, Usilete mambo ya Patrick Click to expand... Who is Patrick? Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Simon10 said: Fanya maisha na unayejua background yake, Usilete mambo ya Patrick Click to expand... Who is Patrick? Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Bin Kisafuru Senior Member Joined Oct 4, 2018 Posts 109 Reaction score 161 Jan 11, 2025 #184 Nenda polisi
S SIGN nail Senior Member Joined May 7, 2017 Posts 162 Reaction score 131 Jan 11, 2025 #185 MtotoKautaka said: Unanitukana kwasabab gani? Kenge mwenyewe dog wewe Click to expand... Sasa unajiona una akilikwa ulichofanya kwamba usitukanwe
MtotoKautaka said: Unanitukana kwasabab gani? Kenge mwenyewe dog wewe Click to expand... Sasa unajiona una akilikwa ulichofanya kwamba usitukanwe
M MtotoKautaka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2018 Posts 373 Reaction score 895 Jan 11, 2025 Thread starter #186 SIGN nail said: Sasa unajiona una akilikwa ulichofanya kwamba usitukanwe Click to expand... Sawa malaika
SIGN nail said: Sasa unajiona una akilikwa ulichofanya kwamba usitukanwe Click to expand... Sawa malaika
W welding1682 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2019 Posts 2,151 Reaction score 4,681 Jan 11, 2025 #187 Huyo mwenye mimba kajilengesha na badaye atakusumbua sana, Mchunguze kama amelelewa na baba na Mama! Ukitaka kuoa kama mama wa mwanamke yupo hai jua tabia za mkwe wako utapata picha aina ya mke utakaye oa!
Huyo mwenye mimba kajilengesha na badaye atakusumbua sana, Mchunguze kama amelelewa na baba na Mama! Ukitaka kuoa kama mama wa mwanamke yupo hai jua tabia za mkwe wako utapata picha aina ya mke utakaye oa!
ISO M.CodD JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 7,845 Reaction score 16,942 Jan 11, 2025 #188 Usimuonee huruma mwanamke
S SIGN nail Senior Member Joined May 7, 2017 Posts 162 Reaction score 131 Jan 15, 2025 #189 MtotoKautaka said: Sawa malaika Click to expand... Utulie