Naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair

Wewe ni kichaa uliye ajiriwa na akili huna pambana na hali yako lea io mimba ya mwanaume mwenzako.
 
Kwanza uache umalaya na unapofanya uzinzi wako bas ungetukia Kinga Sasa umeyakanyaga unatuletea hapa kwaio Kila ushaur utaufanyia Kaz, acha kuchezea watoto wa kike
 
Kwanza uache umalaya na unapofanya uzinzi wako bas ungetukia Kinga Sasa umeyakanyaga unatuletea hapa kwaio Kila ushaur utaufanyia Kaz, acha kuchezea watoto wa h
"Usithubutu kuoa kwa kigezo Cha mimba"nimekoma
🤣🤣Na bado
 
Ucheze fair kivipi wakati umeshamwambia huyo mchepuko utafunga nae ndoa?Rudi upesi kwa mchumba wako wa kwanza umueleze kosa lako na umuombe msamaha.Akusamehe au asikusamehe usithubutu kurudi Kwa yule mchepuko isipokuwa matumizi lazima umtumie kwa kubeba kiumbe chako.Ukirudi tu Kwa mchepuko utakuwa ukapanga makusudi kumuumiza mwenzio na wala hujutii kosa lak😵gopa chozi la mwanamke.
 

Just imagine ndo huyo mchumba wako yeye ndo amefanya hiki ulichofanya wewe? Ungechukua maamuzi Gani?

Huwezi kumsaliti unayempenda Mkuu! Tunawasaliti wale tunaowatamani kwani hata wakijua tuaamini hakuna madhara tutakayopata.

Ushauri wangu ni kuwa muwazi kwa huyu uliyempa mimba kuwa una mchumba ila ulimficha ... Sikiliza atakachosema!

Asilimia 85 ya wabunge wa CCM hawatarudi 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…