Naomba ushauri, nijenge au ninunue nyumba

Naomba ushauri, nijenge au ninunue nyumba

Enter Passcode

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2024
Posts
479
Reaction score
942
Salaam,

Wakuu, kipi ni nafuu kwa karne hii, kujenga au kununua nyumba na kuhamia.

Mchakato wa kujenga naona ni mrefu kwangu.

Karibuni kwa mawazo, asanteni.
 
Ina tegemea zipo za kununua na zimenyooka sana ila bei cheap kutokana na gharama za uenzi za zamani kuwa ndongo kulinganisha na sasa. Mfuko wako tu unanunua nyumba unaiongezea udambwi inakua kali zaidi.

Kama unataka nyumba ya idea zako mwenyewe jenga yako isimamie mwenyewe usitake utitiri wa mafundi au kusimamiwa ujenzi wengi sio waaminifu.

Wananunua watu maghorofa kkoo sembuse kununua nyumba swekeni. Kikubwa know what you want and zingatia taratibu sahihi za manunuzi usije mwaga kilio. Jitahdi uwajue wamiliki first hand….ukishasikia nyumba ni ya urithi kaa attention ama kimbia meter 800.
 
Use your brain; sidhani kama mtu mwenye uwezo wa ku raise 200m kwa ajili ya ujenzi, au kununua nyumba anaweza asiwe na majibu ya Hilo swali mpaka alete huku!
Unakisia sana, mkuu. Kuna wengine wanaweza kupata mali za urithi. Au akajizolea Tatu Mzuka ama Biko! Haiwezekani?

Ushauri wangu ni kwamba anunue nyumba wakati huohuo akijenga; vyote viende sambamba. Inawezekana kabisa.

Akimaliza kujenga, anaweza kuamua kuiuza hiyo nyingine.
 
Ina tegemea zipo za kununua na zimenyooka sana ila bei cheap kutokana na gharama za uenzi za zamani kuwa ndongo kulinganisha na sasa. Kama unataka unataka nyumba ya idea zako mwenyewe jenga yako.

Wananunua watu maghorofa kkoo sembuse kununua nyumba swekeni. Kikubwa know what you want and zingatia taratibu sahihi za manunuzi usije mwaga kilio. Jitahdi uwajue wamiliki first hand….ukishasikia nyumba ni ya urithi kaa attention ama kimbia meter 800.
Sawa chief
 
Back
Top Bottom