ntafanyaje mkuu familia inalala njaaUsikubali maumivu ya leo yakakuondolee mali ya maisha.
Nyumba uliyojenga kwa jasho lako, kuiuza ukiwa kwenye msongo ni uamuzi unaoweza kuja kukugharimu baadaye.
Tuliza akili, tafuta njia nyingine ya kuanza upya, halafu fanya maamuzi ukiwa umetulia.
Kipato kinaweza kujengwa tena, lakini nyumba uliyouza si rahisi kuirudisha.
Pole sana mkuu, hapo kweli pana changamoto, iuze tu ila usiuze kwa hasarantafanyaje mkuu familia inalala njaa
Mkuu Mali zinatafutwa Cha msingi afya Yako na family Yako uza nyumba au kodisha,tafuta kazi nyingine ya kufanya,kama utauza make sure chakula nunuwa Cha kutoshaNimekumbwa na changamoto ya kifedha ambapo nilipokua nafanyia kazi wamenifanyia fitna nikafukuzwa na fitna hiyo ni baada ya mimi kujenga kajumba kangu mpaka hatua ya kupaua.. wamenifanyia fitna baada ya kuona kahatua hako nlikopiga. mbaya zaidi fitna hii imekuja ndo nimemaliza kupaua tu na hela yote iliishia humo kwenye paa.
Sasa sina hata mia nikafikiria niuze nyumba nianzishe biashara yoyote tu mradi nijenge tena legacy ya kipato.
Naombeni ushauri je nimewaza sawa .. nipo kwenye depression sana wakuu
Inakuaje mpaka unafukuzwa kwa fitna? Umeruhusu mazoea na watu?Mmmm mimi sio mnywaji
Usiuze nyumba.nina mke na mtoto mmoja