Naomba ushauri: Nilipokuwa nafanyia kazi wamenifanyia fitna nikafukuzwa

Aisee,kuuza nyumba? Usiuze,ingekuwa nazo mbili labda,,,,ningekuwa ni mie mkeo,,ningeomba pesa home,ningefanya ki biashara tusilale njaa huku unaendelea kutafuta KAZI.
hata hili nimekaa nimeliwaza sana familia ya mke wangu wanajua najiweza na wao niyakimaskini nimekua mikiwadaidia sana. hata juzi tu mke kapigiwa simu kuna msiba sina ela ya kuchanga nimewaza mnoo wanamuona kama kajipata hawajali tena uko kwa mke hali ya kua sio ivo.. kuna siku mama yake kapiga simu kuomba ela ya sabuni nikamsikia mke akijibu mama hatuna hela mama ake akamjibu kweli nyie hamna ela.. nilikua nawaskia japo ye hakuniona kama nawaskiliza kwakwel nilirudi sikugonga mlango niliwaza sanaaa usiku ule nilikuja kuridi sa tano nikasingizia mpira lakin nilikaa tu mahali nikiwaza mnoo
 
Aisee, hii nalo tatizo,yaani angemuelezea mama yake,naamini mama ndio mkombozi anasimama na mwanae,

Ingekuwa poa kama wangekuwa na uwezo wa kumsaidia ata laki, angefanya biashara ndogo ya kuingiza pesa ya kula,huku wewe unahangaika kutafuta KAZI, mngepambana mngeweka magrid ata chumba kimoja mngahamia kwenu,,huko analima mboga nk,huku maisha yanasonga.

Yeye amuelezee mama yake kile unachopitia.
 
hata hili nimekaa nimeliwaza sana familia ya mke wangu wanajua najiweza na wao niyakimaskini nimekua mikiwadaidia sana. hata juzi tu mke kapigiwa simu kuna msiba sina ela ya kuchanga nimewaza mnoo wanamuona kama kajipata hawajali tena uko kwa mke hali ya kua sio ivo.. kuna siku mama yake kapiga simu kuomba ela ya sabuni nikamsikia mke akijibu mama hatuna hela mama ake akamjibu kweli nyie hamna ela.. nilikua nawaskia japo ye hakuniona kama nawaskiliza kwakwel nilirudi sikugonga mlango niliwaza sanaaa usiku ule nilikuja kuridi sa tano nikasingizia mpira lakin nilikaa tu mahali nikiwaza mnoo
Dah Pole sana mkuu, hivi hiyo nyumba hauwezi ichukulia mkopo Bank kama dhamana , ufanye biashara na kurudisha kidogo kidogo?🤔
 
Nimekumbwa na changamoto ya kifedha ambapo nilipokua nafanyia kazi wamenifanyia fitna nikafukuzwa na fitna hiyo ni baada ya mimi kujenga kajumba kangu mpaka hatua ya kupaua..

Wamenifanyia fitna baada ya kuona kahatua hako nlikopiga. mbaya zaidi fitna hii imekuja ndo nimemaliza kupaua tu na hela yote iliishia humo kwenye paa.

Sasa sina hata mia nikafikiria niuze nyumba nianzishe biashara yoyote tu mradi nijenge tena legacy ya kipato.

Naombeni ushauri je nimewaza sawa .. nipo kwenye depression sana wakuu
Uuze nyumba tena? Before you quit think why you started.
Lakini Siamini kuwa kukosa hata mia ndio ufikirie kuuza nyumba. Jikaze kiume hapo ulipofikia fosi tu uhamie kulaleki,halafu jishushe tafuta shughuri yoyote mkono uende kinywani.
Makazini Kuna mambo mengi sana, japo hatujui upande wa pili imekuwaje umefukuzwa ni fitna au Kuna katukio ka faida (mpunga) mpaka umejenga afu wamestuka. Mzee ajali kazini...keep it hard mzee. Umejenga? You are hero bro...Usiuze ila shetani akikuingia unataka kuuza wallah nicheki hahahaha
 
Katika miezi hii miwili nimepitia mambo mengi nashindwa kuelezea nimetoka kuongea na mzaz sijamuambia hali nliyonayo alichonambia kikaniumiza zaidi ni kua.. anapasua kichw amdog angu apate kitu chakufanya nikashindwa kumwambia hali nliyonayo na mimi naona kama ntampa presha sasa mimi na mdog angu ni watot wakiume pekee kwake sasa akiona na mimi nipo hali hii hatalala kabsa.. kuna siku niliwaza sana mpaka nikaona hatua ya mwisho niondoke tu huu ulimwengu.. nilishawai mpa dalali auze nyumba kuna jiran yangu alimfukuza dalali akamwambia hii nyumba haiuzwi yule jiran alinipigia tukaongea mda mrefu sanaa lakn ni msabato yeye kauli kubwa anayosema nikaombewe labda nina mapepo kwakel sikumuelewa
 
Aisee, usiogope kumuelezea mzazi kile unachopitia maneno yake tu yatakupa faraja,nguvu ya kupambania,ataongeza kukujali vile anaelewa mwanae unapita wakati gani.
 
Kwanza hilo wazo la kufukuzwa kazi liondoe kichwan.

Shukuru huwez jua mpango wa Mungu juu yako.

usiuze nyumba ili kufanya biashara ambayo huna uzoefu nayo, utakuwa sawa na mtu anaekopa pesa kwa ajiri ya kuanzisha biashara, utafeli.

wew ni mwanaume usitie huruma, huna wakukusaidia. umeanguka amka kung'uta vumbi na anza safari upya.

fanya kaz yeyote upate unga huku ukiendelea kutafta kazi.

UMEJIFUNZA watu wako wa karibu sio wa kuamin, shetan huwa hatok mbali
 
Nimekumbwa na changamoto ya kifedha ambapo nilipokua nafanyia kazi wamenifanyia fitna nikafukuzwa na fitna hiyo ni baada ya mimi kujenga kajumba kangu mpaka hatua ya kupaua..

Wamenifanyia fitna baada ya kuona kahatua hako nlikopiga. mbaya zaidi fitna hii imekuja ndo nimemaliza kupaua tu na hela yote iliishia humo kwenye paa.

Sasa sina hata mia nikafikiria niuze nyumba nianzishe biashara yoyote tu mradi nijenge tena legacy ya kipato.

Naombeni ushauri je nimewaza sawa .. nipo kwenye depression sana wakuu
hivi kwa nyinyi wafanyakazi issue ya kujenga nyumba ni mafanikio makubwa sana kiasi cha kufanyiana figisu ?
 
Haya Mkuu Ni Mapito Magumu Mfano Kuachwa Na Mpenzi Uliyempenda Ghafla
Nashauri Tuliza Kwanza Mawazo, Shusha Pumzi Jikubali
Tafadhali Ongea Vema Na Mkeo Kwa Pamoja Pambaneni

Kuuza Nyumba Nyakati Hizi Za Dhiki, Tabu, Mahangaiko
Unaweza Uza Bei Isiyoweza Kutatua Chochote
Kuna Jamaa Alikuwa Na Nyumba Makambako

Hakuwa Na Shida Alitaka Kuiuza Maana Alihamishws Kikazi
Alianzia Millions 60 Lakini Siku Ya Kuuza Aliuza Millions 25
 
Back
Top Bottom