dump
JF-Expert Member
- Mar 23, 2020
- 642
- 958
Hahahahahaaaaaaaaaa utakua umepatia nilikua najalibu kumpa puresha mleta uzi na kufulahisha jukwaa, atakua kaogopa eti.Hahahaha kwa sifa za upole mwanaume aliyemsemea sidhani kama utakuwa ni wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaaaaaaaaa utakua umepatia nilikua najalibu kumpa puresha mleta uzi na kufulahisha jukwaa, atakua kaogopa eti.Hahahaha kwa sifa za upole mwanaume aliyemsemea sidhani kama utakuwa ni wewe.
Familia iliyokosa muongozo wa wazazi pande zote mbili,hususan baba,hakika ina hasara kubwaSend off ilikuwa tarehe 10 taarifa zinatoka tarehe 8 wakati wameanza safari tarehe 7 kutoka mbeya , nilimtext mvulana kuwa wasitishe wakati huo wameshafika kahama,
Suala ambalo mama na mimi tulitofautiana ni baada ya kumweleza mchumba wangu kwamba Nina mtoto akasema mi ndo naoa kwakua nimekukubali ukiwa na mtoto hakuna shida ila akaomba mtoto atamlea na kumsomesha na ameshamlipia ada ya primary one ya mwaka mzima niwe mkweli, ila akanisihi nisiwajulishe kwao kama mi nina mtoto, hapo ndo mama akakazania kwamba lazima wajue, nikansihi mama kwamba anayenioa kashamkubali mtoto na anamhudumia ila kwao wataleta mapingamizi nikiwaambia muda huu, hivyo kasema tutawaambia mbeleni, mziki ukaanzia hapo mama akajitoa
Huyu mama hafai,kuna kitu anakificha hapa.Wewe unaonekana una makando kando mengi sana.Shika taimu yako muache kijana atafute mwingine sababu hata hukutaka kumuliza mwemzio juu ya hiyo ya yeye kuwa tayari ana mke na kupata ukweli wa wa hizo tuhuma,ona sasa unataka uuwashe moto mwingine kwa ndugu zake pindi wakijua wewe uliolewa ukiwa single mother.Hawajambo hapo Murugwanza lakini?
Huyu mwanamke hafai,pia nahisi kuna mpango kando unao mvuruga akili.Pole sana kwa yaliyokukuta ila;
- Familia yenu ipo so disorganized kiasi kwamba mmepokea rumours tu, rumours tu zikawafanya wote as a family kuahirisha jambo kubwa la namna hiyo.
- Wewe hufai kuwa mke wa mshkaji kwa sababu baada ya mjomba kusema hivyo, kwa nini usimtafute mchumba na kuuliza mwenyewe hayo uliyosikia na ukweli wake.
Mwisho, ingekuwa mimi ningekusamehe kiroho safi lakini nisingekuoa, you're unfit to be a wife.
[emoji3516]Jamani mambo zenu, Niko katika wakati mgumu
Mimi ni binti wa miaka 29 kwa sasa, nimempata mwanaume ambaye tulipanga mengi sana hadi kupanga jinsi ya kufunga ndoa,
Mwaka fulani niliingia kwenye mahusiano na kijana mmoja toka Mbeya, ila kwa sasa anaishi Afrika ya Kusini kwa shughuli zake ,
Tulikubaliana kuanza kutambulishana kwao, na kwetu
Nakumbuka alinilipia nauli ya ndege nikaenda kwao kutambulishwa nikamshukuru Mungu kwamba nimepata mme sasa,
Tumeendelea na utaratibu na mshenga akatumwa kwetu kusema, baada ya kuondoka nikamweleza mama kuwa kijana sawa ananipenda ila hapendi jambo fulan ambalo kwa ukweli sitalisema hapa, mama akasema kama ndo hivo sitak habari zako za kuolewa,
Ikabidi mchakato uendelee kawaida, wakaleta kishika uchumba mama akawa hataki kushiriki hata kidogo, anasusa, sasa shangazi yangu akaniambia kwamba kwakuwa huna baba naomba ili suala tuwashirikishe baba wadogo na wajomba tuendelee na nchakato,
Baada ya muda tukapanga wataletaje mahari na siku ya send off tukaipanga,
Sasa kabla ya send off siku moja kabla tukapata habari kupitia kwa mjomba kwamba Mwanaume anayeenda kunioa kumbe ana mke mi naenda kuwa mke wa pili, taarifa hii ikawachanganya wote hata wajomba wakasema ngoja wajiweke pembeni, maandalizi ya send off yakavurugika wakati huo wakwe wakiwa njiani kuhudhuria sherehe hiyo , walikodi Costa na magari kadhaa kutoka mbeya hadi Ngara,
Wakanikimbia ndugu zangu wote nami nikachanganyikiwa kwa hasira sikutokea kwenye send off na maandalizi ikawa hasara, wakapiga simu nikazima nilikuwa na hasira sana,
Baadaye nikawasha simu nikakuta mama mkwe mtarajiwa amenitumia meseji kwamba "Sikutegemea kama ungetufanyia haya, sisi tunajiandaa kesho tunarudi lakini baki na amani"
Niliumia sana Akaendelea kunitumia meseji za machungu nikijua naye anajua kuwa Mwanae ana mke na mama huyu tumeongea kila siku niliumia,
Sasa yule mchumba wangu akawa ananitafta sipokei nikamwambia sina Muda mchafu wa kuolewa na wewe, hapo sikumwambia kwanini nimebadili mawazo,
Sasa nakumbuka siku kadhaa baadae naitwa nyumbani kwamba kuna kikao,
Kumbe kuna taarifa kwamba yule kijana hakuwa ameoa ila alichumbia sehemu akalipa mahari ila kumbe hakuoa,
Habari zilisononesha sana
Nikaenda kwa askofu mmoja akanishauri
1.Ama tuombe radhi kwao kuendelea na mchakato
2.Ama tuwape kishika uchumba chao maana mahari alikuwa bado angetoa siku ya send off asubuhi yake,
Naomba ushauri wenu plz
Nimeikosea Sana familia ile, pia hasira baada ya kupungua natamani niolewe naye japo nashindwa naanzaje
Mama yako nae ni mshamba kabisa Hana busaraSend off ilikuwa tarehe 10 taarifa zinatoka tarehe 8 wakati wameanza safari tarehe 7 kutoka mbeya , nilimtext mvulana kuwa wasitishe wakati huo wameshafika kahama,
Suala ambalo mama na mimi tulitofautiana ni baada ya kumweleza mchumba wangu kwamba Nina mtoto akasema mi ndo naoa kwakua nimekukubali ukiwa na mtoto hakuna shida ila akaomba mtoto atamlea na kumsomesha na ameshamlipia ada ya primary one ya mwaka mzima niwe mkweli, ila akanisihi nisiwajulishe kwao kama mi nina mtoto, hapo ndo mama akakazania kwamba lazima wajue, nikansihi mama kwamba anayenioa kashamkubali mtoto na anamhudumia ila kwao wataleta mapingamizi nikiwaambia muda huu, hivyo kasema tutawaambia mbeleni, mziki ukaanzia hapo mama akajitoa
Sikupenda wala hayakuwa mapenzi yangu kutokuwa na babaFamilia iliyokosa muongozo wa wazazi pande zote mbili,hususan baba,hakika ina hasara kubwa
AsanteMama yako nae ni mshamba kabisa Hana busara
Hujielewi wewe,hebu soma comment ya huyo dada hapo chini.Anasema sababu zilizomfanya mama yake kugomea harusi ni huyo dada ni single mother,so jamaa alimwambia atamuoa hata kama ni single mother ila hatopenda wazazi wake wajue mapema kuwa anamuoa single mother.So mama yake huyo dem akalazimisha wazazi wa jamaa wapewe taatifa kuwa kijana wao anamuoa single mother.Hapo ndio chanzo bimkubwa kususia vikao.Mungu amekuepusha na janga kubwa sana huko mbeleni. Achana na huyo mchumba, ndio nimeandika hivyo wala sijakosea kwamba ACHANA NA HUYO JAMAA.
Kwa nini nasema hivi? Sababu kuu ni hizi hapa:
1. Umekiri mwenyewe kwamba kuna kitu alikuambia ambacho baada ya kumshirikisha mama yako alikugomea kabisa kuolewa na huyo jamaa na hata process za ndoa hajashiriki. That means hio kasoro aliyonayo huyo jamaa ni kubwa sana na haivumiliki sema ww utakuwa desperate na ndoa ndio maana umejitoa akili. Mzazi ni mzazi, amezaliwa kabla yako, kaona mengi na akikataa kitu jua kashajua kabisa hapo hamna mwisho mzuri.
2. Jamaa alishawahi kuchumbia kwingine lkn hakuoa. Sasa jiulize kwa nini hakuoa baada ya kuchumbia! Na kwako amejitahidi lkn mmeishia kwenye kutambulishana tuu, siku ya mahari ndio yametokea hayo. That means huko kwao ndio kuna shida mahali. Kaa naye chini muongee vzr akueleze vzr shida iko wapi.
Kingine ukitaka kupata ushauri mzuri eleza kinagaubaga kila kitu, acha kufichaficha, hata hiko kitu ulichosema huwezi kusema we sema tuu ili upewe ushauri unaoeleweka.
Unforgetable
Mama yako anaonekana ni wamama wale wenye tabia mbaya na roho mbaya sana na kwa maelezi insonekana naye umerithi tabia zake yanayopelekea wewe kufanya mambo mengi ya kitoto.Send off ilikuwa tarehe 10 taarifa zinatoka tarehe 8 wakati wameanza safari tarehe 7 kutoka mbeya , nilimtext mvulana kuwa wasitishe wakati huo wameshafika kahama,
Suala ambalo mama na mimi tulitofautiana ni baada ya kumweleza mchumba wangu kwamba Nina mtoto akasema mi ndo naoa kwakua nimekukubali ukiwa na mtoto hakuna shida ila akaomba mtoto atamlea na kumsomesha na ameshamlipia ada ya primary one ya mwaka mzima niwe mkweli, ila akanisihi nisiwajulishe kwao kama mi nina mtoto, hapo ndo mama akakazania kwamba lazima wajue, nikansihi mama kwamba anayenioa kashamkubali mtoto na anamhudumia ila kwao wataleta mapingamizi nikiwaambia muda huu, hivyo kasema tutawaambia mbeleni, mziki ukaanzia hapo mama akajitoa
Ww uwe 29...mbona kama 35.....mtu mwenyewe mnyarwanda afu unalinga kuolewa tena na kijana wa mbeya.... Huna bahati ya pesa ndugu.... Nyota ya ukahaba inakuitaaJamani mambo zenu, Niko katika wakati mgumu
Mimi ni binti wa miaka 29 kwa sasa, nimempata mwanaume ambaye tulipanga mengi sana hadi kupanga jinsi ya kufunga ndoa,
Mwaka fulani niliingia kwenye mahusiano na kijana mmoja toka Mbeya, ila kwa sasa anaishi Afrika ya Kusini kwa shughuli zake ,
Tulikubaliana kuanza kutambulishana kwao, na kwetu
Nakumbuka alinilipia nauli ya ndege nikaenda kwao kutambulishwa nikamshukuru Mungu kwamba nimepata mme sasa,
Tumeendelea na utaratibu na mshenga akatumwa kwetu kusema, baada ya kuondoka nikamweleza mama kuwa kijana sawa ananipenda ila hapendi jambo fulan ambalo kwa ukweli sitalisema hapa, mama akasema kama ndo hivo sitak habari zako za kuolewa,
Ikabidi mchakato uendelee kawaida, wakaleta kishika uchumba mama akawa hataki kushiriki hata kidogo, anasusa, sasa shangazi yangu akaniambia kwamba kwakuwa huna baba naomba ili suala tuwashirikishe baba wadogo na wajomba tuendelee na nchakato,
Baada ya muda tukapanga wataletaje mahari na siku ya send off tukaipanga,
Sasa kabla ya send off siku moja kabla tukapata habari kupitia kwa mjomba kwamba Mwanaume anayeenda kunioa kumbe ana mke mi naenda kuwa mke wa pili, taarifa hii ikawachanganya wote hata wajomba wakasema ngoja wajiweke pembeni, maandalizi ya send off yakavurugika wakati huo wakwe wakiwa njiani kuhudhuria sherehe hiyo , walikodi Costa na magari kadhaa kutoka mbeya hadi Ngara,
Wakanikimbia ndugu zangu wote nami nikachanganyikiwa kwa hasira sikutokea kwenye send off na maandalizi ikawa hasara, wakapiga simu nikazima nilikuwa na hasira sana,
Baadaye nikawasha simu nikakuta mama mkwe mtarajiwa amenitumia meseji kwamba "Sikutegemea kama ungetufanyia haya, sisi tunajiandaa kesho tunarudi lakini baki na amani"
Niliumia sana Akaendelea kunitumia meseji za machungu nikijua naye anajua kuwa Mwanae ana mke na mama huyu tumeongea kila siku niliumia,
Sasa yule mchumba wangu akawa ananitafta sipokei nikamwambia sina Muda mchafu wa kuolewa na wewe, hapo sikumwambia kwanini nimebadili mawazo,
Sasa nakumbuka siku kadhaa baadae naitwa nyumbani kwamba kuna kikao,
Kumbe kuna taarifa kwamba yule kijana hakuwa ameoa ila alichumbia sehemu akalipa mahari ila kumbe hakuoa,
Habari zilisononesha sana
Nikaenda kwa askofu mmoja akanishauri
1.Ama tuombe radhi kwao kuendelea na mchakato
2.Ama tuwape kishika uchumba chao maana mahari alikuwa bado angetoa siku ya send off asubuhi yake,
Naomba ushauri wenu plz
Nimeikosea Sana familia ile, pia hasira baada ya kupungua natamani niolewe naye japo nashindwa naanzaje
Nakubali makosa kuna muda najifungia nataman hata Kunywa sumuHujielewi wewe,hebu soma comment ya huyo dada hapo chini.Anasema sababu zilizomfanya mama yake kugomea harusi ni huyo dada ni single mother,so jamaa alimwambia atamuoa hata kama ni single mother ila hatopenda wazazi wake wajue mapema kuwa anamuoa single mother.So mama yake huyo dem akalazimisha wazazi wa jamaa wapewe taatifa kuwa kijana wao anamuoa single mother.Hapo ndio chanzo bimkubwa kususia vikao.
Huyo dem na ndugu zake wapo wrong sana.
Tuheshimiane Sana tumia busaraWw uwe 29...mbona kama 35.....mtu mwenyewe mnyarwanda afu unalinga kuolewa tena na kijana wa mbeya.... Huna bahati ya pesa ndugu.... Nyota ya ukahaba inakuitaa
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Ndio ukweli wenyewe.... Inakuaje unashindwa kumshirikisha anayetaka kukuoa... Ukamweleza ulichosikia... Ww unafanya maamuzi tu kisa umeelezwa na mjomba.... Yawezekana hata hiyo ndoa ingekushinda mapema tu... Maana ungesiliza watu baki... Ww rose uwe unatumia akili... Sio kukurupukaTuheshimiane Sana tumia busara