Naomba ushauri nimewakosea sana wanaoenda kuwa wakwe zangu kutokana na mkanganyiko wa familia yangu/Sikutokea siku ya Send off

Hahahaha kwa sifa za upole mwanaume aliyemsemea sidhani kama utakuwa ni wewe.
Hahahahahaaaaaaaaaa utakua umepatia nilikua najalibu kumpa puresha mleta uzi na kufulahisha jukwaa, atakua kaogopa eti.
 
Mimi binafsi siwezi kukushauri wakati ujaweka wazi mama yako alikataa kuwa mshiriki kwenye harusi yako kwasababu ya mchumba wako kutokupenda nini?
 
Kama unafikili aliyekuwa anaolewa ni mama yako pole sana. Maana suala lankioa ulitakiwa umuulizemwanau.e au umweleze mama mkwe wako. Jipange kurudisha kishika uchumba cha watu.
 
Familia iliyokosa muongozo wa wazazi pande zote mbili,hususan baba,hakika ina hasara kubwa
 
Huyu mama hafai,kuna kitu anakificha hapa.
 
Huyu mwanamke hafai,pia nahisi kuna mpango kando unao mvuruga akili.
 
[emoji3516]
HII NCHI NI TAJIRI SANA HII-
AU NADANGANYA NDUGU ZANGU WAKINGA??
[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Fikiri kabla ya kutenda.. Huyo mjomba wako ni hakupendi aliamu kuzusha Mambo tuu.. Kawaroge Hao wajomba zako
 
Mama yako nae ni mshamba kabisa Hana busara
 
Hujielewi wewe,hebu soma comment ya huyo dada hapo chini.Anasema sababu zilizomfanya mama yake kugomea harusi ni huyo dada ni single mother,so jamaa alimwambia atamuoa hata kama ni single mother ila hatopenda wazazi wake wajue mapema kuwa anamuoa single mother.So mama yake huyo dem akalazimisha wazazi wa jamaa wapewe taatifa kuwa kijana wao anamuoa single mother.Hapo ndio chanzo bimkubwa kususia vikao.

Huyo dem na ndugu zake wapo wrong sana.
 
Kwa upande wangu kwanza naamini hukuwahi mpenda huyo kaka. Ninaona umekua mkatili sana. Umemkatili mno. Naamini kama ungekua umenpenda kweli lazima ungemuuliza tu maana si rahisi kukubali kumpoteza mtu unayempenda kirahisi hivyo.

Pia sioni ukaribu wako na mchumba wako kiasi usimjue hivi. Sisi wanawake ni wapelelezi wa kiwango cha kimataifa. Sisi huwa ni observers. Mwanaume hata akakudanganya jambo huwa unajua kbs hapa nimedanganywa lakini ngoja nimuitikie tu lakini upelelezi huendelea kimya kimya. Na umewezaje hata kukubali kuolewa na mwanaume na hujui hata kama amewahi kuchumbia? Au tumetofautiana jaman? Ni hizi ndoa za harakaharaka?

Kwa upande mwingine naona kama wewe ndo ulikua obssessed na ndoa. Mama anaweza akawa alikua sahihi kukataa kuolewa na jamaa kwasababu anaamini kwamba mtoto wako si gunia la bangi kiasi cha kufichwa hivyo bali alipaswa kumkubali in public. Yawezekana jamaa pia alitaka kuficha kwa wakati huu ili amalize kufunga ndoa kuepuka pingamizi la familia yake.

Anyways, usijione mkosefu sana. Huenda basi labda haikua riziki na Mungu anajua kwanini ilikua iwe hivi. Pole sana. Naona kama umejitia doa. Zaidi nikushauri omba radhi kuanzia familia yako mpk familia ya mchumba wako kwa kukosa uvumilivu, hasira na kuamini maneno ya kuokoteza maana inaonyesha busara umekosa na hata kwenye ndoa ungeleta shida hii kwa kupokea sana maneno ya nje. Jishushe. Lakini usibembeleze sana ndoa. Kama gakuna basi usijishushe sana. Endelea na maisha. Si lazima wote kuolewa. Simama Imara.
 
Mama yako anaonekana ni wamama wale wenye tabia mbaya na roho mbaya sana na kwa maelezi insonekana naye umerithi tabia zake yanayopelekea wewe kufanya mambo mengi ya kitoto.

Kama ambavyo wewe ulijisikia vibaya uliposikia jamaa ana Mke,na ndivyo ilivyo kwa wanaume akipata binti aliyezalishwa tayari ana mtoto.Wanaume wengi wakipata wanawake wenye watoto hata kama alikuwa amekupenda kupita kiasi wengi huwa wanaghairi na kukuta uhusiano kabisa kwa maana hiyo inaonekana kabisa hiyo jamaa anakupenda kwa dhati kutoka moyoni.

Ushauri wangu,Mama yako amisha maliza hatua zake huu ni muda wako shirikisha akili yako achana na kila ushauri anaokupa mama yako,hiyo mama anavyoonekana ataipelekesha hata ndoa yako kama utabahatika kuolewa.

Pia wewe una madhaifu mengi una mtoto bado umri wako ni mkubwa halafu unakuwa na malingo utadhani binti wa 20 yrs ambaye hajazaa.kaombe msamaha msamaha na ujisogeze muishi mambo ya mahali jamaa apeleke badaye hali ikitulia kwa pande zote na ndoa pia.
 
Ww uwe 29...mbona kama 35.....mtu mwenyewe mnyarwanda afu unalinga kuolewa tena na kijana wa mbeya.... Huna bahati ya pesa ndugu.... Nyota ya ukahaba inakuitaa

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
 
Nakubali makosa kuna muda najifungia nataman hata Kunywa sumu
 
Aisee JF hadi inatisha , naona mashambulizi yamekuwa mengi kuliko ushauri sio kila kitu kukichulia negative .
 
Tuheshimiane Sana tumia busara
Ndio ukweli wenyewe.... Inakuaje unashindwa kumshirikisha anayetaka kukuoa... Ukamweleza ulichosikia... Ww unafanya maamuzi tu kisa umeelezwa na mjomba.... Yawezekana hata hiyo ndoa ingekushinda mapema tu... Maana ungesiliza watu baki... Ww rose uwe unatumia akili... Sio kukurupuka

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…