Naomba ushauri, nina milioni tatu nataka nikaanze maisha

Naomba ushauri, nina milioni tatu nataka nikaanze maisha

Unafanya kazi gani?
Tumia 700k kwaajili ya ghetto yaani kodi na godoro tu, anasa achana nazo. Kinachobaki fanya mtaji. Ila tujue unafahamu nini au unaujuzi gani?
 
Mtu anataka akaanze maisha,kwanza tafuta chumba,alafu nunua vitu muhimu vya ndani,mwisho tafuta mke uoe,nadhani hapo utakuwa umeanza maisha na utegemee mtoto.Tafuta hela kwa bidii uje tena kwa ushauri wa biashara gani ufanye.
 
Njoo uweke kwenye mchele ndani ya huu mwezi mmoja itaongezeka 1
 
Back
Top Bottom