Tafuta wateja kwanza ndio ujue unawapelekea bidhaa gani(biashara)Ndugu zangu naitaji ushauli wenu. Nina 25 million TZshillings naitaji kuanzisha biashara ambayo inaweza ikanipa faida kubwa ndani ya mwaka mmoja. Yani biashara yoyote ambayo inatembea kwa kasi zaidi. inaweza ikawa mkoa wowote ule. Asanteni.
za urithi. aue mwingine? 😃Fanya hiyo hiyo biashara iliyokupa milioni 25
Nenda mkoani vijijin kafungue mashine ya kukoboa mpungaza urithi. aue mwingine? 😃
Mmkitajaga hizo hela zenu mnatuchanganya sana sisi wenye madeni isee..!Ndugu zangu naitaji ushauli wenu. Nina 25 million TZshillings naitaji kuanzisha biashara ambayo inaweza ikanipa faida kubwa ndani ya mwaka mmoja. Yani biashara yoyote ambayo inatembea kwa kasi zaidi. inaweza ikawa mkoa wowote ule. Asanteni.
Mwambie aje imfurahishe 🤣🤣Cosmetics
kafanye biashara za watu ujifunze kabla hujaanzisha yakoNdugu zangu naitaji ushauli wenu. Nina 25 million TZshillings naitaji kuanzisha biashara ambayo inaweza ikanipa faida kubwa ndani ya mwaka mmoja. Yani biashara yoyote ambayo inatembea kwa kasi zaidi. inaweza ikawa mkoa wowote ule. Asanteni.
Na mm nimekopa mkuuMmkitajaga hizo hela zenu mnatuchanganya sana sisi wenye madeni isee..!