Maneno ya mleta uzi inaonyesha kapata pesa ya mkopo wa mwaka mmoja kwa hiyo anachotaka ni kupata boashara ya uhakika ambayo anaweza kuzungusha kwa haraka arudishe rejesho na baada ya kumaliza mkopo abaki na chochote..hapo ungefanya biashara ya nafaka na uifate mwenyewe huko Sumbawanga,Mbeya,Iringa na kwingineko uuze Arusha au ukanunue mahindi Tunduma upeleke Tarakea ila sijui kama hiyo pesa itaweza kujaza semi lenye tan 32 ili ukashushe hapo tarakea nauli ni laki mbili kwa tani..
Asante sana kk wewe msomi!! Kuna watu wanaleta utani mwingi kwenye mambo ya serious!!Maneno ya mleta uzi inaonyesha kapata pesa ya mkopo wa mwaka mmoja kwa hiyo anachotaka ni kupata boashara ya uhakika ambayo anaweza kuzungusha kwa haraka arudishe rejesho na baada ya kumaliza mkopo abaki na chochote..hapo ungefanya biashara ya nafaka na uifate mwenyewe huko Sumbawanga,Mbeya,Iringa na kwingineko uuze Arusha au ukanunue mahindi Tunduma upeleke Tarakea ila sijui kama hiyo pesa itaweza kujaza semi lenye tan 32 ili ukashushe hapo tarakea nauli ni laki mbili kwa tani..