The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Fanya biashara hiyohiyo iliyokupa 25MNdugu zangu naitaji ushauli wenu. Nina 25 million TZshillings naitaji kuanzisha biashara ambayo inaweza ikanipa faida kubwa ndani ya mwaka mmoja. Yani biashara yoyote ambayo inatembea kwa kasi zaidi. inaweza ikawa mkoa wowote ule. Asanteni.
Hapo kwa hiyo Hela hatoboi gari la cement tu ni 10+m,Hardware, uza cement, nondo, tiles, rangi na vifaa vya umeme.
Asante kwa ushaurNunua assets za million 15 (kama kiwanja, pkpk au bajaji,), alafu million 10 fanyia biashara yoyote ya kawaida unayoweza wewe mwenyewe
Kwani kila anaefanya biashara ya Hardware ananunua hilo gari? Usikariri unaweza kuanza hata na cement mifuko 200Hapo kwa hiyo Hela hatoboi gari la cement tu ni 10+m,
Cement 200 utauza vip upate faida wakat Kuna wenzio jiran wanaleta lori Zima la cement,hapo kwa hiyo Hela ajikite zaid kwenye vifaa vidogo vidogo vya ujenz na mifumo ya maji taka na safiKwani kila anaefanya biashara ya Hardware ananunua hilo gari? Usikariri unaweza kuanza hata na cement mifuko 200
Kwa akili hizi umewahi kufanya biashara yoyote? Kwahiyo kisa jirani kaleta lori la cement yeye akianza na mifuko 200 itamzuia kupata faida? Ingekua ni hivyo hata hao wanaoleta tani nzima wasingeweza kufikia hiyo hatua ya kuleta gari nzima, au unafikiri walianzia hapo unapowaona?Cement 200 utauza vip upate faida wakat Kuna wenzio jiran wanaleta lori Zima la cement,hapo kwa hiyo Hela ajikite zaid kwenye vifaa vidogo vidogo vya ujenz na mifumo ya maji taka na safi
Cement ni uongo mkuuHela ndogo ukifanya mchezo unaimaliza fungua Hardware kwa kuanzia uza cement, nondo, misumari, rangi na vifaa vya umeme.
Hata mimi nimeandika kutokana na Experience cement anaweza na nondo anawezaCement ni uongo mkuu
Hata nondo hapana
Aweke vifaa vya umeme maybe aanze mdogo mdogo
Writing froM experience
Sawa aanze tupo pale tumekaa.😅Hata mimi nimeandika kutokana na Experience cement anaweza na nondo anaweza
Una umri gani? Una mali gani za kwako binafsi unazomiliki?Ndugu zangu naitaji ushauli wenu. Nina 25 million TZshillings naitaji kuanzisha biashara ambayo inaweza ikanipa faida kubwa ndani ya mwaka mmoja. Yani biashara yoyote ambayo inatembea kwa kasi zaidi. inaweza ikawa mkoa wowote ule. Asanteni.
Kama upo na uhakika kweli basi naomba nichekiNdugu zangu naitaji ushauli wenu. Nina 25 million TZshillings naitaji kuanzisha biashara ambayo inaweza ikanipa faida kubwa ndani ya mwaka mmoja. Yani biashara yoyote ambayo inatembea kwa kasi zaidi. inaweza ikawa mkoa wowote ule. Asanteni.
Anzisha biashara ya spea za pikipiki na bajaji. Kama upo DSM, (Sina uzoefu wa nje ya Dar).Ndugu zangu naitaji ushauli wenu. Nina 25 million TZshillings naitaji kuanzisha biashara ambayo inaweza ikanipa faida kubwa ndani ya mwaka mmoja. Yani biashara yoyote ambayo inatembea kwa kasi zaidi. inaweza ikawa mkoa wowote ule. Asanteni.
Sasa wewe ndio wa kuwanyoosha kuwaona wenzio wajinga wakati hufanyi kitu wewe ndio tatizoKweli JF ni mtandao wa vilaza kwa sasa , jinsi wanavyoelezea mambo it is too shameful