Naomba ushauri: Nina Tsh. Milioni 25, nifanye biashara gani?

Tarakea mahindi ni bei gani?
 
Asante sana kk wewe msomi!! Kuna watu wanaleta utani mwingi kwenye mambo ya serious!!
 
Toa 1m utafute demu mzuri upige hata vitatu ujipe pole
 
Biashara sio jambo rahisi kabisa, kama huna uzoefu na biashara yoyote cheza na biashara ya viwanja au nunua nyumba ufanye ya wapangaji au guest ya kulala wageni. Usitoke kwenye eneo hilo la ardhi, hizo biashara nyingine za kusimuliwa na kushauliwa hela inaondoka kidogo kidogo mpk inaisha. #Kumbuka hili, hakuna siku itaondoka milioni 3 ghafla/mwendo ni kidogo kidogo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…