nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
nashukuru sana mkuuNunua pikipiki. Hii ina uhakika wa kupata pesa kuliko Library. Kwa technolojia ya sasa watu wanapata movies na music kwa urahisi mitandaoni kuliko kwenda Library.
Ushauri wangu nunua pikipiki mkuu. Kikubwa uwe na nidhamu barabarani na nidhamu ya pesa.
nipo maeneo ya mjini mkuu,Aisee vijana WA sikuhizi banaa!!! Maelezo hafifu Kama haya utasaidiwa vipi?
Unaishi wapi na unataka kufanya biashara wapi?
ni ishu za upatu boss tunapeana kila baada ya miez 5Endelea kufanya hiyo iliyokupa 1.2M ongezea ubunifu
Kwa vip bossHio pikipiki used unagarantee nayo
Uzima wakeKwa vip boss
kuweka muvi katika flash ndio hiyo nimemaanisha mkuuShida ya pikipiki unaweza ukazamia huko huko na usitoboe maisha ni kama roho tu utaishia kupata kula kulala plus risk za barabarani kukoswa na magari.
Library mtihani nani anakodi movie siku hizi labda ujiongeze na bidhaa mix mfano kuchaji simu,kuuza vocha,kuweka nyimbo kwenye flash,ufundi simu nk
zinakua zipo fiti boss ya kias hicho cha pesaUzima wake
Sijui soko lipojekuweka muvi katika flash ndio hiyo nimemaanisha mkuu
vip kuhus kuweka movi kwenye flashKama ni pikipiki simamia mwenyewe na uwe na malengo pia kubali kufunga zipu
Usinunue chombo cha moto used kwa hapa Tanzania kutoka kwa mtu mweusi. Nunua aidha kwa mwarabu wa Kariakoo au Mhindi wa Posta/upanga.Wana Jukwaa,
Ubungo au Keko kuna pikipiki used aina ya Boxer au TVS. Lakini pia nina wazo la kufungua maktaba (library). Je, kati ya biashara hizo mbili, ipi itanipa kipato cha uhakika kwa mtaji wa takribani milioni 1.2?
Asanteni.
Library za movie zipo zile za kisasa Ambazo hawauzi CDs wala kukodisha hizi zinafunguliwa sehemu zenye watu wanaojielewa pia zipo Ambazo wewe unataka kufungua hizi zinahitaji maeneo ya uswahilini tena uswahilini haswa...nipo maeneo ya mjini mkuu,