Acha kumuingiza Chaka mwenzio, library ya muziki inalipa sana uswahiliniNunua pikipiki. Hii ina uhakika wa kupata pesa kuliko Library. Kwa technolojia ya sasa watu wanapata movies na music kwa urahisi mitandaoni kuliko kwenda Library.
Ushauri wangu nunua pikipiki mkuu. Kikubwa uwe na nidhamu barabarani na nidhamu ya pesa.
Bila kusoma Elimu ta ufundi Veta?Nunua welding machine angle grinder na drill ufungue goli uwe unachomelea riziki utapata mkuu
Tena Waswahili wanapenda sana kwasababu Waswahili wanatabia ya kubadilika taratibu kwa mwendo wa konokonoAcha kumuingiza Chaka mwenzio, library ya muziki inalipa sana uswahilini
Atafute mwenye uzoefu na kuchomelea akae naye wawe wanagawana rizikiBila kusoma Elimu ta ufundi Veta?
FactTena Waswahili wanapenda sana kwasababu Waswahili wanatabia ya kubadilika taratibu kwa mwendo wa konokono
Sijajua machine ya kunyoa ni bei Gani ila ungetafuta frame kubwa uweke desktop au laptop ya kuweka muvi na uwe na kijana wa kunyoa ambaye kutokana na mwanzo mgumu labda mtalipana kwa kichwa... Mfano: kunyoa kama ni 1,000# unampa labda 400 wewe 600# kwa namna utakavyoona inafaa.Wana Jukwaa,
Ubungo au Keko kuna pikipiki used aina ya Boxer au TVS. Lakini pia nina wazo la kufungua maktaba (library). Je, kati ya biashara hizo mbili, ipi itanipa kipato cha uhakika kwa mtaji wa takribani milioni 1.2?
Asanteni.
Pia awe na nidhamu kwa wake za watu.Nunua pikipiki. Hii ina uhakika wa kupata pesa kuliko Library. Kwa technolojia ya sasa watu wanapata movies na music kwa urahisi mitandaoni kuliko kwenda Library.
Ushauri wangu nunua pikipiki mkuu. Kikubwa uwe na nidhamu barabarani na nidhamu ya pesa.
Nakushauri uchukue hiyo 1.2M ukalipe ada usome VETA ili akili ikae sawa kwanza. Mambo mengine baadaeWana Jukwaa,
Ubungo au Keko kuna pikipiki used aina ya Boxer au TVS. Lakini pia nina wazo la kufungua maktaba (library). Je, kati ya biashara hizo mbili, ipi itanipa kipato cha uhakika kwa mtaji wa takribani milioni 1.2?
Asanteni.
Nakazia ushauri wako mkuuNunua pikipiki. Hii ina uhakika wa kupata pesa kuliko Library. Kwa technolojia ya sasa watu wanapata movies na music kwa urahisi mitandaoni kuliko kwenda Library.
Ushauri wangu nunua pikipiki mkuu. Kikubwa uwe na nidhamu barabarani na nidhamu ya pesa.
bei gani bossUsinunue chombo cha moto used kwa hapa Tanzania kutoka kwa mtu mweusi. Nunua aidha kwa mwarabu wa Kariakoo au Mhindi wa Posta/upanga.
asante, iyo kazi siwez mkuuNunua welding machine angle grinder na drill ufungue goli uwe unachomelea riziki utapata mkuu