nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
- Thread starter
- #41
upatuMkuu hiyo ela wewe umeipataje?
upatuMkuu hiyo ela wewe umeipataje?
Hapana ila AsanteNakushauri uchukue hiyo 1.2M ukalipe ada usome VETA ili akili ikae sawa kwanza. Mambo mengine baadae
niliweka saloon bossMkuu kwani ile M1.3 hukufungua biashara?!
Nimepata Tsh. Milioni 1.3, naomba ushauri wa aina ya biashara ninayoweza kufanya
Shukrani boss wanguUshauri wangu fungua library ya kisasa, movie zako ziwe na ubora wa kutosha, achana na mamb ya cd, Sasa hiv watu wanaweka movie kwenye flash, tumia social media km inst na whtsp kujitangaza, unaweka movie mpya ambazo zimetoka.
Wakat unapiga hyo kazi uwe unatafuta lain za m pesa, t pesa, Airtel money, nk. Kwahyo badae utaongeza huduma ya kutoa na kuweka pesa.
Kama ni kweli wewe ni mpambanaji basi itafika muda utaitanua huduma kwa kuuza vitu km flash, charger za simu, nk..
uko vizuri, hio weka biashara inayoendana na mazingira uliyopo, wateja, na ushindani.niliweka saloon boss
Upo real sana dogo. All the bestni ishu za upatu boss tunapeana kila baada ya miez 5
Kama ipi mkuu vip pikipikiuko vizuri, hio weka biashara inayoendana na mazingira uliyopo, wateja, na ushindani.
aha pamoja boss wanguKaka ukipata location safi fungua library utanishukuru kaka mm nakunja 30_40 kwa Sikh bila stress
Watafute hawa BUSINESS IDEAS ACADEMYWana Jukwaa,
Ubungo au Keko kuna pikipiki used aina ya Boxer au TVS. Lakini pia nina wazo la kufungua maktaba (library). Je, kati ya biashara hizo mbili, ipi itanipa kipato cha uhakika kwa mtaji wa takribani milioni 1.2?
Asanteni.
Library kama unaspeaker kubwa unakuwa unakodisha dundo, kurusha series hasa kikorea,kihindi na kibongo ndio zipo trending, bado kurusha na nyimbo, per day hukosi Tsh 25,000 au zaidi, lakini pikipiki ukiweka mkataba labda Tsh 10,000 ni hio hio daily, nakushauri fungua library iboreshe ivutie, inukie, jibrand mitandaoni, mtaani, n.k utapata faida.Kama ipi mkuu vip pikipiki
Kaka ukipata location safi fungua library utanishukuru kaka mm nakunja 30_40 kwa Sikh bila stress
by the way mimi nitakua msimamizi tu kuna shughuli nyingine naifanya yani ajira ya privateTafuta eneo lenye mzunguko mzuri, Anza biashara ya nafaka Mchele, Unga, maharagwe, dagaa mafuta! Hapo uhakika kabisa pesa yako.
2. Eneo lenye mzunguko wa watu andaa jiko lako safiii unachoma mishkaki, nyama choma miksa na soseji na ndizi chapu kwa haraka utakuja kunishukuru.
3. Kama sio bishoo nunua jiko la ges maalum kwaajir ya chapati, uwe na Meza moja viti 4 kuanzia unapika supu ya kuku na chapati asubuh na jion.
4. Ukipata mdada mtafutaji mwenye hasira anayejua kupika vitumbua dili nae awe anapika asubuh na jion pamoja na maziwa! "simple Sana kwa mtaji mdogo.
5. Usipokuwa mvivu na bishoo tafuta shule 2 dili na vishet vya 100 kwa watoto, kwa siku unauhakika wa kukata mifuko 2 ya ngano na unauhakika wakuingiza 30000/50000 kwa siku kulingana na idadi na ubora wa vishet vyako,, ni swala la kuwa na hasira na usiliazi. Achana na mapikipiki uwe mlemavu, uibiwe, uzurumiwe, ukamatwe, iharibike ni umasikini mtupuuuuu. Hrf ondoa mawazo ya kitoto mtu ambaye yupo serious kabisa unawaza library ya kuingiza nyimbo? Are serious? Fanya vitu ambavyo kwa age yako hawawez kufanya na unapiga pesa! Usimaindi mkuuu nakupa uhalisia ulivyo
Welding ina effect kubwa Sana later utatumiwa Kwa filamu za action upande WA jambaz .nunua boda ukishindwa. Possibility ya kuresale NI kubwaasante, iyo kazi siwez mkuu
Uza spea za simu. Nakuhakikishia hutojutia. Mwakani majira kama haya ukiwa na nidhamu ya fedha hutojutia.Wana Jukwaa,
Ubungo au Keko kuna pikipiki used aina ya Boxer au TVS. Lakini pia nina wazo la kufungua maktaba (library). Je, kati ya biashara hizo mbili, ipi itanipa kipato cha uhakika kwa mtaji wa takribani milioni 1.2?
Asanteni.
Japo unatakiwa uweke akilini hili. Kila biashara ina risk na challenges zake. Biashara yoyote utakayoianzisha jiandae kukabiliana na changamoto zake.Uza spea za simu. Nakuhakikishia hutojutia. Mwakani majira kama haya ukiwa na nidhamu ya fedha hutojutia.
Kama wewe ni mtu wa wanawake sana, bodaboda na kurusha movie zitaongrza risk (nimewaza tu sio kwamba nina uhakika na tabia tajwa kuwa unayo)