Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Dar mmezoe vitu soft soft sana. Mkuu huko katavi heka moja inauzwa si zaidi ya laki2 tena iliyo fyekwa.Wana Jukwaa,
Ubungo au Keko kuna pikipiki used aina ya Boxer au TVS. Lakini pia nina wazo la kufungua maktaba (library). Je, kati ya biashara hizo mbili, ipi itanipa kipato cha uhakika kwa mtaji wa takribani milioni 1.2?
Asanteni.
Huoni kwamba ukienda kulima huko maharage miezi si zaidi ya 3-4 hii ni pamoja na maandalizi yote. utatumia gharama si zaidi ya 1m kwa heka2.
Fanya unachopenda hasara iliyopo kwenye boda ni kubwa sana kuliko hasara utakayopata kwenye kilimo ni kukoswa faida (mavuno stahiki) lakini bado shamba itabaki kuwa yako milele