momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,057
- 2,190
Ushauri wowote ambao hauhusiani na pikipiki nenda nao achana na mawazo ya pikipiki ata kama kuna watu unawajua wanafaidika achana na hayo mawazo yani usiwaze kuhusu pikipiki.
hujachelewa bossSijui nimechelewa, ila Sikiliza, Fungua wakala, hata kabanda, alafu tenga 250,000 kanunue charge , sijui earphone zile vijaze na makava. Achana na Cd na hiyo boda.
Upatu ujao ndio weka CD, uwe unawekea watu miziki na Printer. Hutolala njaa.
Au fungua kabisa saloon ya kiume.
ndio bossNenda kwa makampuni kama "watu";
Chukua pikipiki used na weka deposit 200,000 au kutegemeana na ubora wa pikipiki husika.
Marejesho kila siku hayazidi 6,000.
Tafuta maeneo yenye muingiliano mzuri, tafuta kijiwe(wanalipia vijiwe hadi 500,000).
Ingia road mwenyewe upambane.
Funga zipu.
Usitumie mihadarati.
Usitumie kilevi.
Nakuhakikishia baada ya muda utayaona matunda yake.
Pesa itakayokuwa imebaki fanya mambo mengine(umesema una 1.2m mkononi).
Sasa nifanye nini mkuuPikipiki kama huendeshi mwenyewe achana nayo, its wastage of money.
Naomba unipe ufafanuzi juu ya risk ya pikipiki bossUshauri wowote ambao hauhusiani na pikipiki nenda nao achana na mawazo ya pikipiki ata kama kuna watu unawajua wanafaidika achana na hayo mawazo yani usiwaze kuhusu pikipiki.
asante mkuuWatu kama nyie mnakera ..alf mnajidai wajuaji kumbe hakuna kitu ,,biashara unazomshauri na library anayotaka kufungua unaona vinaendana ?
1.mtu anafanya kitu anachopenda ndio ataeza kukisimamia vizur alaf vitu anavotka haviitaji usimamizi mkubwa Wala havichukui mda wake mwingi kuvifatilia hii inamfanya afanye hata kazi zingine
Pili library hupat hasara movie hata uwarushie watu 100 haiaribiki na unaweza uza hata movie za mwaka 1990 ila kitumbua Cha juzi huezi muuzie mteja
Kwanini mkuu naona memba mmoja apo kanionya juu ya pikipikiPiki piki Liwe chaguo lako la kwanza
hapana hua siamini katika kubahatisha maishaTafuta sure ods 2 tia mzigo utajidabo...
a) kioo 24 inch 140000 b) cpu koa 5 240000 c) external 12TB 360000.Ni nzuri kama ukipata ambayo inauzwa ingawa bei yake itakuwa 1.3m mpaka 1.5m
endapao ukianzisha ya kwako kuna gharama zifuatazo:
Uuuuuuuuu hatareeee hatareeee thanaaaaaENEO NA MAPATO.
ENEO
Eneo ni zuri kama utakuwa pembezoni mwa mji,na hii ni kwa sababu huko ushindani unakuwa ni mdogo pia mama wa nyumbani ni wengi.
MAPATO.
Hapo itategemea kwanza uaminifu wa mfanya kazi ,si ajabu kwa siku ukatapa kama elfu14 hadi 16.
GHARAMA ZA UENDESHAJI
Umeme elfu 28 kwa mwezi
Kodi elfu 30 kwa mwezi.
Hela ya kununua muvi kwa maagenti elfu7 hadi 15 kwa wiki.
Mfanya kazi elfu 50 kwa mwezi.=168,000/=
Chakula cha mfanyakazi hapo wewe ndio utampangia kutokana na eneo husika.
Unashauriwa umtafute kijana ambae anaish kwao kiufupi asiwe na majukumu ya kifamilia.
Ukiwa pazuri na kuitunza vizuri ,kupata laki mbili kwa mwezi ni kawaida.
Vp ndugu , nimempotosha au nimempatia muongozo?Uuuuuuuuu hatareeee hatareeee thanaaaaa
Unafanya hyo.ishu weweVp ndugu , nimempotosha au nimempatia muongozo?
Nimewahi kuwa na mtu wa karibu anaefanya kazi hiyo.Unafanya hyo.ishu wewe