christopher mlewa
Member
- Oct 22, 2018
- 15
- 39
Ndugu zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25.
Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua na kuthibitisha kuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwiðŸ˜ðŸ˜, na siku hiyo niliuza mechi (sikuvaa mpira), naogopa sana kwenda kupima kwani naamini majibu nitakayopewa itakuwa ni usaliti mkubwa sana kwa wazazi wangu na hata dini yangu.
Imani pekee ambayo nimebaki nayo ni kwamba kama haujui kuwa unafanya mapenzi na mtu ambaye ana virusi hivi hatari basi hauwezi kuambukizwa, ila utapata tu pale ambapo unakua unajua, ni kama vile waislam wanavyoamini kuwa akila nguruwe bila kujua basi sio dhambi, dhambi ni pale anapokua anajua kuwa anakula nguruwe.
Je, ni kweli hiki nachokiamini ni sahihi? majibu yenu yatakayokuwa upande wangu basi yataniimarisha sana.
ASANTENIðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜