Naomba ushauri; Nipo kwenye dimbwi la mawazo baada ya kutembea na mwathirika wa UKIMWI

Ndg zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25.

Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua na kuthibitisha kuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi😭😭, na siku hiyo niliuza mechi (sikuvaa mpira), naogopa sana kwenda kupima kwani naamini majibu nitakayopewa itakuwa ni usaliti mkubwa sana kwa wazazi wangu na hata dini yangu.

Imani pekee ambayo nimebaki nayo ni kwamba kama haujui kuwa unafanya mapenzi na mtu ambaye ana virusi hivi hatari basi hauwezi kuambukizwa, ila utapata tu pale ambapo unakua unajua, ni kama vile waislam wanavyoamini kuwa akila nguruwe bila kujua basi sio dhambi, dhambi ni pale anapokua anajua kuwa anakula nguruwe.

Je, ni kweli hiki nachokiamini ni sahihi? majibu yenu yatakayokuwa upande wangu basi yataniimarisha sana.

ASANTENI😭😭😭
Kula pisi hizo kali acha mawazo wewe.

Ukimwi ni Myth
 
Kuna jamaa mmoja muhuni Sana ANAPIGA tungi Sanaa 😊 pia wanawake kwa Sanaa..

Yeye hutumia KY GELL kuondoa friction kwenye kuchakata so omba mungu kua ulipiga kimoja na hukupata michubuko

Na pia Kama huyo vampire slayer alikua anatumia dozi zake vizuri probability/chance ya kutoka salama ni 100%

Mengineyo yote ni kudra za mwenyezi Mungu atusaidie Sanaa maana hizi pilika na harakati za ujanaa sio powaa
 
Karibu watu wote waliopata Ukimwi kwa njia ya kujaamiana walipitia hatua kama hizi hizi unazozipitia!
Na pia wengi waliotoka salama nao walipitia mchakato huo huo.

Ujumbe wangu ni upi?
Ukimwi hauchagui wala haubagui, yoyote anayefanya mapenzi hatarishi anayo nafasi ya kuupata. Acha uzinzi, tulia.
 
Ndg zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25.

Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua na kuthibitisha kuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi😭😭, na siku hiyo niliuza mechi (sikuvaa mpira), naogopa sana kwenda kupima kwani naamini majibu nitakayopewa itakuwa ni usaliti mkubwa sana kwa wazazi wangu na hata dini yangu.

Imani pekee ambayo nimebaki nayo ni kwamba kama haujui kuwa unafanya mapenzi na mtu ambaye ana virusi hivi hatari basi hauwezi kuambukizwa, ila utapata tu pale ambapo unakua unajua, ni kama vile waislam wanavyoamini kuwa akila nguruwe bila kujua basi sio dhambi, dhambi ni pale anapokua anajua kuwa anakula nguruwe.

Je, ni kweli hiki nachokiamini ni sahihi? majibu yenu yatakayokuwa upande wangu basi yataniimarisha sana.

ASANTENI😭😭😭
Vijana Kati ya miaka 18-24 ndio wanaoongoza mamabukizi ya VVU.

Virusi vya UKIMWI sio rahisi kuvipata ila Inakua rahisi kutegemea na sababu mbalimbali.

Ana VVU, ulimpima ukathibitisha au?.

Yuko kwenye Dawa Kwa muda gan mpaka Sasa?.

Kuna masuala ya kukaamia mechi Ile unakomoa, Kuna masuala ya staili n.k
 
Imani pekee ambayo nimebaki nayo ni kwamba kama haujui kuwa unafanya mapenzi na mtu ambaye ana virusi hivi hatari basi hauwezi kuambukizwa, ila utapata tu pale ambapo unakua unajua, ni kama vile waislam wanavyoamini kuwa akila nguruwe bila kujua basi sio dhambi, dhambi ni pale anapokua anajua kuwa anakula nguruwe.
Hii ni imani potofu.

Watoa elimu husema hivi:
  • HIV huambukizwa kupitia damu, shahawa, majimaji ya uke, au maziwa ya mama bila kujali ufahamu wako wa hali ya mwenza wako.
Tafadhali jitahidi kushinda woga, pima, na utafute msaada wa wataalamu wa afya
 
Ndugu zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25.

Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua na kuthibitisha kuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi😭😭, na siku hiyo niliuza mechi (sikuvaa mpira), naogopa sana kwenda kupima kwani naamini majibu nitakayopewa itakuwa ni usaliti mkubwa sana kwa wazazi wangu na hata dini yangu.

Imani pekee ambayo nimebaki nayo ni kwamba kama haujui kuwa unafanya mapenzi na mtu ambaye ana virusi hivi hatari basi hauwezi kuambukizwa, ila utapata tu pale ambapo unakua unajua, ni kama vile waislam wanavyoamini kuwa akila nguruwe bila kujua basi sio dhambi, dhambi ni pale anapokua anajua kuwa anakula nguruwe.

Je, ni kweli hiki nachokiamini ni sahihi? majibu yenu yatakayokuwa upande wangu basi yataniimarisha sana.

ASANTENI😭😭😭
Karibu kwenye grid mwanawane. Ushauri wa bure ni huu, usijaribu kutumia arv kabisaaaa. Wee ukikutwa nao fuata ushauri wa janabi utaishi miaka 20+ kama mie hapa
 
Ndg zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25.

Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua na kuthibitisha kuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi😭😭, na siku hiyo niliuza mechi (sikuvaa mpira), naogopa sana kwenda kupima kwani naamini majibu nitakayopewa itakuwa ni usaliti mkubwa sana kwa wazazi wangu na hata dini yangu.

Imani pekee ambayo nimebaki nayo ni kwamba kama haujui kuwa unafanya mapenzi na mtu ambaye ana virusi hivi hatari basi hauwezi kuambukizwa, ila utapata tu pale ambapo unakua unajua, ni kama vile waislam wanavyoamini kuwa akila nguruwe bila kujua basi sio dhambi, dhambi ni pale anapokua anajua kuwa anakula nguruwe.

Je, ni kweli hiki nachokiamini ni sahihi? majibu yenu yatakayokuwa upande wangu basi yataniimarisha sana.

ASANTENI😭😭😭

Pole,

Wewe bado mdogo sana, taifa bado linakuhitaji sana. Jitunze, jijali, jishughulishe na fanya mazoezi. Yakikushinda basi tumia kinga mdogo wangu.

Kitaalamu mtu anapokutana kimwili na mwenye VVU anaweza kuambukizwa hivyo virusi hasa kama mwathirika hatumii kabisa dawa au anatumia dawa lakini wingi wa virusi (viral load) hao mwilini mwake iko juu. Pia hatari ya kuambukizwa huongezeka zaidi kukiwa na michubuko.

Kinachoshauriwa ni kwamba ukishagundua kwamba umekutana kimwili na mwenye VVU unatakiwa uanze kutumia dawa za kuzuia maambukizi hayo (Post exposure Prophylaxis, PEP), lakini unatakiwa uanze kuzitumia ndani ya saa 72 toka mlipokutana kimwili.

Kwa sasa huhitaji kuwa na mawazo tulia kwa sababu mawazo au msongo wa mawazo unaokuwa nao haubadilishi chochote bali ni kujiongezea matatizo tu. Baada ya miezi mitatu ukapime ili ujue hali ya afya yako.
Chukua tahadhari, jikinge.
Kila la kheri.
 
asante mkuu kwa ushauri wako imara, kuna kitu umeniongezea
 
Back
Top Bottom