Naomba ushauri; Nipo kwenye dimbwi la mawazo baada ya kutembea na mwathirika wa UKIMWI

Ulitembea Naye Kwenda Wapi?Alafu Ngwengwe Si Kwa Ajili Ya Ng'ombe Na Mbuzi Ni Kwa Ajili Yetu Wana Zama Damu,,,Hongera Kwa Kuunganishwa Kwenye Gridi Taifa,,,Tumia Fursa Hiyo,,Ni Muda Wa Kufungua Shirika Lisilo La Kiserikali(NGOs) Ya Namna Bora Ya Kuishi Kwa Matumaini,,Upige Pesa Za Wahisani Kedekede,, Hongera Tena Kwa Kuukaribia Utajiri.
 
Huyo sio muathirika wa VVU ila anaishi na maambukizi.

Kuna stage akifika ndio tunasema ni muathirika wa VVU mfano kutumia zaidi ya 75% ya muda wake kulala tu kulingana na tabu anayopitia..
 
Siku hizi ukimwi ni kama U.T.I tu.
 
Unao m
Karibu kwenye grid mwanawane. Ushauri wa bure ni huu, usijaribu kutumia arv kabisaaaa. Wee ukikutwa nao fuata ushauri wa janabi utaishi miaka 20+ kama mie hapa
Kuu?
 
1. Kuna mdau amesema umtafute. Nadhani fanya hivyo mapema.
2. Unadai ulifanya ngono ijumaa usiku. Kama ni hivyo, saa 72 hazijapita. Waweza pata dawa na virusi kama viliingia viangamizwe
 
Ulichubuka?? Mwanaume kupata Ukimwi ni uzembe wako... Ww ndo unayekuwa man of the match Sasa kama ulijitutumua ukamkamia Ili kumridhisha naukachubuka "get well soon"
 
Kumbe ukiathirika utakuwa umesaliti wazazi na dini. Daa!
Ko isingekuwa kuwasaliti hao ungekuwa sawa?
 
Tena ukampakia mkongo na ukausiginia haswaaa ukasimamia kucha mkachubuana balaa hongera kwa kutumia maudongo ya mama.
 
Tena ukampakia mkongo na ukausiginia haswaaa ukasimamia kucha mkachubuana balaa hongera kwa kutumia maudongo ya mama.
 
Tena ukampakia mkongo na ukausiginia haswaaa ukasimamia kucha mkachubuana balaa hongera kwa kutumia maudongo ya mama.
 
Oya Tusepe kuna mambo mengi inabidi uongeze umri ndio ufanye kwa ufasaha una 25 wewe kwa mujibu wa Sheria iliyopitishwa na bunge kua mtoto ni kuanzia miaka 21 basi wewe ni mtoto aliechangamka kwa hio inabidi ukuekue kidogo ndio utaweza kufanya mambo kwa kujitambua yaan umelala na manzi zama hizi umegundua ana ngwengwe umeshindwa kuwahi zile dawa kabla ya masaa 48? Utoto kazi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…