Mtu kusema AI can't replace human being ni kushindana na kimbunga. AI inapunguza demand ya wataalamu na inafanya mambo mengi kwa sekunde chache kitu ambacho ungepambana miezi kadhaa AI itakuongoza kufanya kwa siku moja au masaa kadhaa kuendena na ujuzi wako wa kuweza kuicommand.
AI imebadili Kila field kuanzia chemical engineering, health, botany, academic, content writing, everything.....
Tukisema AI hatumaanishi chat GPT zipo more specialized AI system Japan ina AI named sakana, sakana means fish 🐠 in Japanese language zina design and provide procedure and alternative. AI imebadili namna ya kupigana vita na ....
Software engineering value imeshuka itaendelea kushuka. Ni kama kusema machine na maroboti hayana madhara kwenye swala la ajira sababu hazifanyi Kila kitu?????????????? Hazifanyi Kila kitu lakini zina impact kubwa badala ya kuhitaji watu 500 unahitaji machine na operator 6 wanaofanya kazi kwa shift!!!!!!
Thank you very much to AI imeniokolea pesa, muda na kunifanya niiishi mbele ya muda, ukiweza kujua namna ya kutumia AI katika maisha yako ya Kila suku utaongea kwa code tofauti utaona dunia sio tu ni kama Kijiji bali kitufe kidogo sana kama mpira wa tenesi🎾