Naomba ushauri nisome programming language gani?

Naomba ushauri nisome programming language gani?

Wenzio wako maabara kuhitimisha hayo yote. Wewe na mimi tupo JF kujadili.
Wako kuunda quantum chip, AI chip nk unafikiri mambo yatabaki yalivyo ?
AI zimezinduliwa rasm mwaka jana ona ndani ya muda mfupi ilivyo badil hali.
Muwe mnasoma na trend za technolojia msije mkawa mnajidanganya kumbe ulimwengu upo kwing
 
pyhton haikwepeki mzee, hakuna zaidi ya hiyo kwa eneo hili, Java ni takataka siku chache zijazo


Matumizi ya java sijui, ila kuna lugha ni muhimu sana hata teknolojia ikueje, py, c++, JS, PHP, etc.

AI zitakuwepo lakini web technology haitakufa na zitaembed na Hizo AI widely


Mtu kusema AI can't replace human being ni kushindana na kimbunga. AI inapunguza demand ya wataalamu na inafanya mambo mengi kwa sekunde chache kitu ambacho ungepambana miezi kadhaa AI itakuongoza kufanya kwa siku moja au masaa kadhaa kuendena na ujuzi wako wa kuweza kuicommand.
AI imebadili Kila field kuanzia chemical engineering, health, botany, academic, content writing, everything.....

Tukisema AI hatumaanishi chat GPT zipo more specialized AI system Japan ina AI named sakana, sakana means fish 🐠 in Japanese language zina design and provide procedure and alternative. AI imebadili namna ya kupigana vita na ....

Software engineering value imeshuka itaendelea kushuka. Ni kama kusema machine na maroboti hayana madhara kwenye swala la ajira sababu hazifanyi Kila kitu?????????????? Hazifanyi Kila kitu lakini zina impact kubwa badala ya kuhitaji watu 500 unahitaji machine na operator 6 wanaofanya kazi kwa shift!!!!!!

Thank you very much to AI imeniokolea pesa, muda na kunifanya niiishi mbele ya muda, ukiweza kujua namna ya kutumia AI katika maisha yako ya Kila suku utaongea kwa code tofauti utaona dunia sio tu ni kama Kijiji bali kitufe kidogo sana kama mpira wa tenesi🎾
FB_IMG_1735416644915.jpg
 
Mimi nilijifanya mjuaji lakini mpaka saivi PHP yenyewe sometime inanizingua, mambo so mabaya lakini...😁😁😁
 

Attachments

  • Screenshot_20241222-151006.jpg
    Screenshot_20241222-151006.jpg
    238.7 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240920-112415.jpg
    Screenshot_20240920-112415.jpg
    493.6 KB · Views: 6
Hii field kila kukicha inabadirika, yaani ina ukichaa flani. Tukitoka kwenye ma AI si mda itakuja quantum computer.Nayo italeta upepo mwingine.
Kama mvivu acha tu.kama ni bookworm endelea. Kama unapenda komaa na python ili ujue kuziamrsha AI uunde unavyovitaka.
Huu utabiri utatimia muda si mrefu
 
This journey is crazy! kila kukicha mambo yanabadirika. Ni hivi miaka 5 ijayo kila mtu atakuwa programmer. Yaani atahitaji kujua kingereza tu. Kamsikilize jensen huang meneja wa NVIDIA unaweza acha kusumbua kuchwa
Tia link 🖇️ au video yake hapa, au alisema nini
 
Back
Top Bottom