Naomba ushauri nisome programming language gani?

 
pyhton haikwepeki mzee, hakuna zaidi ya hiyo kwa eneo hili, Java ni takataka siku chache zijazo


Matumizi ya java sijui, ila kuna lugha ni muhimu sana hata teknolojia ikueje, py, c++, JS, PHP, etc.

AI zitakuwepo lakini web technology haitakufa na zitaembed na Hizo AI widely


 
Mimi nilijifanya mjuaji lakini mpaka saivi PHP yenyewe sometime inanizingua, mambo so mabaya lakini...๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 

Attachments

  • Screenshot_20241222-151006.jpg
    238.7 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240920-112415.jpg
    493.6 KB · Views: 6
Huu utabiri utatimia muda si mrefu
 
This journey is crazy! kila kukicha mambo yanabadirika. Ni hivi miaka 5 ijayo kila mtu atakuwa programmer. Yaani atahitaji kujua kingereza tu. Kamsikilize jensen huang meneja wa NVIDIA unaweza acha kusumbua kuchwa
Tia link ๐Ÿ–‡๏ธ au video yake hapa, au alisema nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ