Naomba ushauri simu ya kununua kwa bajeti isiyozidi 750k

Joined
Jun 27, 2017
Posts
13
Reaction score
18
Habari wakuu.

Kama heading inavyojieleza, naomba ushauri kuhusu simu ninayoweza kuipata kwa bajeti isiyozidi laki saba na nusu (750k)

Binafsi ninapendelea brand ya samsung na xiaomi
 
Nunua simu Yoyote ila zingatia battery capacity. Ianzie 5000 mAh na kuendelea juu
 
Ishi na pixel 5,huwezi kupatq NYEPE lakini, kaa humo hutajuta.
 
Habari wakuu.

Kama heading inavyojieleza, naomba ushauri kuhusu simu ninayoweza kuipata kwa bajeti isiyozidi laki saba na nusu (750k)

Binafsi ninapendelea brand ya samsung na xiaomi
Ukifanikiwa kupata brand ya Xiaomi/Redmi uta-enjoy sana,nadhani kwa hiyo offer utapata simu nzuri sana mimi natumia Xiaomi Poco F3 ni simu moja unique na imekaa utamu sana.
 
Jitu zima unakwemda kununu simu laki saba milioni huna vitu vya kufanya alfu unakuta umepanga badala ulekeze fedha zote Kat ujenz unaenda kununua simu laki Saba mpk milioni huna akili
Acha Makasiriko ndugu, pesa yake, kwanini umpangie matumizi. Umejuaje kuwa hana nyumba.
Tafuta pesa.... kila mtu anakipaumbele chake.
 
Galaxy A33 itakufaa kwa bei hiyo.
=> Utapata software rich features za Samsung

=> Utapata screen bora kabisa ya super amoled katika soko kwa upande wa mid-range zote. Kumbuka screen ndo kitu ambacho mtumiaji ana-interact nacho.

=> Utapata hardware bora kwa kiwango cha midrange. Simu nyingi zinapoteza ubora baada ya mwaka mmoja wa matumizi ila siyo samsung.

=> Software updates. Utapata updates za OS kwa miaka mitatu mfululizo. Hivyo utaenjoy kila feature mpya ya android kwa miaka 3. Hakuna android yoyote katika kiwango hicho cha pesa itakupa 3 yrs of software updates.

=> Battery yake ni nzuri. 20+ hrs kwa heavy users. 2 days kwa wenye matumizi ya kawaida.

=> Camera bora. Kati ya vitu samsung kawekeza katika midrange ni camera bora yenye IOS.
 
Jitu zima unakwemda kununu simu laki saba milioni huna vitu vya kufanya alfu unakuta umepanga badala ulekeze fedha zote Kat ujenz unaenda kununua simu laki Saba mpk milioni huna akili
Punguza makasiriko ndugu, unapangaje matumizi kwenye hera zisizo zako?
 
yes ni simu nzuri, mwaka jana mwezi wa sita nilinunua A32 kwa laki tano na sabini ingawa baadae ilipanda bei kidogo.

hadi leo natumia battery life bado ipo bomba na nilipata upgrade ya android 12 UI 4.
 
Ukitaka samsung nakupa S10 au S10+. Au samsung A series pia. Tuwasiliane.
 
Mm sipendi e kuona watu wanafanya vitu vya anaza wkt uchumi wetu ni mbovu kuwai kutokea hata Kama huna shida pengine hata mdg ako Hana mtaji wa laki tano tu kuuza viatu

Ni vyema kuwa makini na vitu vya kilaxuary sna
 
Chukua Samsung Galaxy S10 mkuu
Screenshot_20220524-220713_Chrome.jpg
 
Jitu zima unakwemda kununu simu laki saba milioni huna vitu vya kufanya alfu unakuta umepanga badala ulekeze fedha zote Kat ujenz unaenda kununua simu laki Saba mpk milioni huna akili
Acha kiherehere
 
Acha makasiriko mwenzio kaomba ushauri wa simu ya kununua na sio kiwanja kama hujui unakaa kimya pesa ni yake usimpangieee
 
Back
Top Bottom