Naomba ushauri simu ya kununua kwa bajeti isiyozidi 750k

Naomba ushauri simu ya kununua kwa bajeti isiyozidi 750k

Xiaomi 11 lite 5G overall ni simu nzuri kwa hio Budget, ni Ya kuagizishia. Kwa Simu ambazo zipo Tz Samsung galaxy A33 ni nzuri kwa hio Budget.

Pia cheki Xiaomi redmi note 11T pro imetoka na Dimensity 8100, pengine ndio simu yenye Value kubwa kabisa Duniani kwa sasa, perfomance wise.
 
Jitu zima unakwemda kununu simu laki saba milioni huna vitu vya kufanya alfu unakuta umepanga badala ulekeze fedha zote Kat ujenz unaenda kununua simu laki Saba mpk milioni huna akili
Bro?? Hasira zako za kukosa pesa unazmalizia kwa mshkaj [emoji28][emoji28]
 
Habari wakuu.

Kama heading inavyojieleza, naomba ushauri kuhusu simu ninayoweza kuipata kwa bajeti isiyozidi laki saba na nusu (750k)

Binafsi ninapendelea brand ya samsung na xiaomi
Usihangaike....nna samsung galaxy A32 in a good condition. Nmeitumia kwa miezi 6 tu. Nchek tufanye biashara.
 
Xiaomi 11 lite 5G overall ni simu nzuri kwa hio Budget, ni Ya kuagizishia. Kwa Simu ambazo zipo Tz Samsung galaxy A33 ni nzuri kwa hio Budget.

Pia cheki Xiaomi redmi note 11T pro imetoka na Dimensity 8100, pengine ndio simu yenye Value kubwa kabisa Duniani kwa sasa, perfomance wise.
Hivi kuna tofauti sana kati ya super AMOLED na IPS inayoonekana kwa mtumiaji wa kawaida?
Naona note 11T hazina AMOLED
 
Hivi kuna tofauti sana kati ya super AMOLED na IPS inayoonekana kwa mtumiaji wa kawaida?
Naona note 11T hazina AMOLED
Kwa specs za hio simu lazima wa Cut corners, Display ni ips na Camera sensor ni ya muda. Ila unapata Flagship grade specification. Hio simu ina nguvu ku compete na simu yoyote duniani even flagship kama iphone 13, Galaxy s22 etc.

Utofauti wa ips na Amoled nenda hapa
 
Jitu zima unakwemda kununu simu laki saba milioni huna vitu vya kufanya alfu unakuta umepanga badala ulekeze fedha zote Kat ujenz unaenda kununua simu laki Saba mpk milioni huna akili
Matumizi ya fedha siyo ujenzi tu
Halafu, kuna wamezaliwa nyumba wamezikuta
 
Hivi kuna tofauti sana kati ya super AMOLED na IPS inayoonekana kwa mtumiaji wa kawaida?
Naona note 11T hazina AMOLED
Tofauti ipo sana. Kutokana na nature ya Amoled ni kwamba kwanza kioo kinakula kidogo hivyo simu inayotumia Amoled itatunza charge zaidi.

Pili Amoled display zinaonyesha rangi halisi zinazovutia macho.

Tatu, kuna hiki kitu kinaitwa "Always on display" huwezi kukipata kwenye IPS LCD displays.
 
Back
Top Bottom