Njombe Vijijini
Member
- Jun 27, 2017
- 13
- 18
Ukifanikiwa kupata brand ya Xiaomi/Redmi uta-enjoy sana,nadhani kwa hiyo offer utapata simu nzuri sana mimi natumia Xiaomi Poco F3 ni simu moja unique na imekaa utamu sana.Habari wakuu.
Kama heading inavyojieleza, naomba ushauri kuhusu simu ninayoweza kuipata kwa bajeti isiyozidi laki saba na nusu (750k)
Binafsi ninapendelea brand ya samsung na xiaomi
Tulia wewe tafuta pesa,duniani tunapita sasa unajengaje njiani[emoji1787][emoji1787]Jitu zima unakwemda kununu simu laki saba milioni huna vitu vya kufanya alfu unakuta umepanga badala ulekeze fedha zote Kat ujenz unaenda kununua simu laki Saba mpk milioni huna akili
Acha Makasiriko ndugu, pesa yake, kwanini umpangie matumizi. Umejuaje kuwa hana nyumba.Jitu zima unakwemda kununu simu laki saba milioni huna vitu vya kufanya alfu unakuta umepanga badala ulekeze fedha zote Kat ujenz unaenda kununua simu laki Saba mpk milioni huna akili
Punguza makasiriko ndugu, unapangaje matumizi kwenye hera zisizo zako?Jitu zima unakwemda kununu simu laki saba milioni huna vitu vya kufanya alfu unakuta umepanga badala ulekeze fedha zote Kat ujenz unaenda kununua simu laki Saba mpk milioni huna akili
yes ni simu nzuri, mwaka jana mwezi wa sita nilinunua A32 kwa laki tano na sabini ingawa baadae ilipanda bei kidogo.Galaxy A33 itakufaa kwa bei hiyo.
=> Utapata software rich features za Samsung
=> Utapata screen bora kabisa ya super amoled katika soko kwa upande wa mid-range zote. Kumbuka screen ndo kitu ambacho mtumiaji ana-interact nacho.
=> Utapata hardware bora kwa kiwango cha midrange. Simu nyingi zinapoteza ubora baada ya mwaka mmoja wa matumizi ila siyo samsung.
=> Software updates. Utapata updates za OS kwa miaka mitatu mfululizo. Hivyo utaenjoy kila feature mpya ya android kwa miaka 3. Hakuna android yoyote katika kiwango hicho cha pesa itakupa 3 yrs of software updates.
=> Battery yake ni nzuri. 20+ hrs kwa heavy users. 2 days kwa wenye matumizi ya kawaida.
=> Camera bora. Kati ya vitu samsung kawekeza katika midrange ni camera bora yenye IOS.
Mimi nina a31 bado iko powa sana nasubiri mwezi huu nipate updates android 12 UI 4yes ni simu nzuri, mwaka jana mwezi wa sita nilinunua A32 kwa laki tano na sabini ingawa baadae ilipanda bei kidogo.
hadi leo natumia battery life bado ipo bomba na nilipata upgrade ya android 12 UI 4.
Acha kiherehereJitu zima unakwemda kununu simu laki saba milioni huna vitu vya kufanya alfu unakuta umepanga badala ulekeze fedha zote Kat ujenz unaenda kununua simu laki Saba mpk milioni huna akili