Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Hamna nyumba ya laki sabaJitu zima unakwemda kununu simu laki saba milioni huna vitu vya kufanya alfu unakuta umepanga badala ulekeze fedha zote Kat ujenz unaenda kununua simu laki Saba mpk milioni huna akili
Bro?? Hasira zako za kukosa pesa unazmalizia kwa mshkaj [emoji28][emoji28]Jitu zima unakwemda kununu simu laki saba milioni huna vitu vya kufanya alfu unakuta umepanga badala ulekeze fedha zote Kat ujenz unaenda kununua simu laki Saba mpk milioni huna akili
Usihangaike....nna samsung galaxy A32 in a good condition. Nmeitumia kwa miezi 6 tu. Nchek tufanye biashara.Habari wakuu.
Kama heading inavyojieleza, naomba ushauri kuhusu simu ninayoweza kuipata kwa bajeti isiyozidi laki saba na nusu (750k)
Binafsi ninapendelea brand ya samsung na xiaomi
Nakazia hapo.
Hivi kuna tofauti sana kati ya super AMOLED na IPS inayoonekana kwa mtumiaji wa kawaida?Xiaomi 11 lite 5G overall ni simu nzuri kwa hio Budget, ni Ya kuagizishia. Kwa Simu ambazo zipo Tz Samsung galaxy A33 ni nzuri kwa hio Budget.
Pia cheki Xiaomi redmi note 11T pro imetoka na Dimensity 8100, pengine ndio simu yenye Value kubwa kabisa Duniani kwa sasa, perfomance wise.
Kwa specs za hio simu lazima wa Cut corners, Display ni ips na Camera sensor ni ya muda. Ila unapata Flagship grade specification. Hio simu ina nguvu ku compete na simu yoyote duniani even flagship kama iphone 13, Galaxy s22 etc.Hivi kuna tofauti sana kati ya super AMOLED na IPS inayoonekana kwa mtumiaji wa kawaida?
Naona note 11T hazina AMOLED
Matumizi ya fedha siyo ujenzi tuJitu zima unakwemda kununu simu laki saba milioni huna vitu vya kufanya alfu unakuta umepanga badala ulekeze fedha zote Kat ujenz unaenda kununua simu laki Saba mpk milioni huna akili
Tofauti ipo sana. Kutokana na nature ya Amoled ni kwamba kwanza kioo kinakula kidogo hivyo simu inayotumia Amoled itatunza charge zaidi.Hivi kuna tofauti sana kati ya super AMOLED na IPS inayoonekana kwa mtumiaji wa kawaida?
Naona note 11T hazina AMOLED