Naomba ushauri tafadhali

Naomba ushauri tafadhali

Hilo tatizo lishawahi kukutokea kabla?

Huyo mwanamke unamfahamu kiundani,je ni mke wa mtu?

Wewe umeoa?

Je ulimpania sana?

Maswali hayo machache yanaweza kuwa na majibu ya shida yako.
 
Ona JF ya siku hizi ilivyo, mtu kaleta tatizo lake maskiini akiamini atapata msaada ameishia kupata kejeli..

Sasa hapa mmesaidia mlengwa ama mmemuongezea msongo wa mawazo, kama mtu huna kitu chema cha kumuambia 'muhanga', ni vyema ukakaa tu kimya na huo ndiyo uungwana..
kabsa ahsante ndug
 
Hilo tatizo lishawahi kukutokea kabla?

Huyo mwanamke unamfahamu kiundani,je ni mke wa mtu?

Wewe umeoa?

Je ulimpania sana?

Maswali hayo machache yanaweza kuwa na majibu ya shida yako.
ndug simfahamu kiundan pia sjaoa Nilikuwa nimeania kabsa ila cha ajabndo hivo ikatokea
 
Back
Top Bottom