Ona JF ya siku hizi ilivyo, mtu kaleta tatizo lake maskiini akiamini atapata msaada ameishia kupata kejeli..
Sasa hapa mmesaidia mlengwa ama mmemuongezea msongo wa mawazo, kama mtu huna kitu chema cha kumuambia 'muhanga', ni vyema ukakaa tu kimya na huo ndiyo uungwana..