Unjubinunuk
Member
- Mar 14, 2023
- 10
- 22
Tunatazama kwa umakini hii thread wenye matusi wasitutoe kwenye mstari tunatazma madini tu tuondoke nayo.Habari zenu wadau.. mtaji wangu ni milioni 3-4 naombeni ushauri wa biashara ya kuweza kuniingizia kiasi cha kuanzia elfu 30 mpaka elfu 50 kwa siku.. Nina miaka 30, nipo Dar.. Jinsia Wa kiume..
Natanguliza shukrani, karibuni kwa ushauri/maoni..
Mhh niliambiwa hivi kabla sijaanza kuendesha bolt tena yangu ila nachokiona ni tofauti kabisaaa.Boda boda wanadharaulika tu lakini nakuhakikishia hapa hapa Dar kuna chimbo Wanakunja hata zaidi ya 120K per day.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Toa notesml 3-4 uingize 50000 per day unachezea hiyo hela Kuna watu tuna laki 3 mtaji tunakunja mpaka 70000 per day
Acha maneno tuu, mshauri sasa afanye nini apige helaml 3-4 uingize 50000 per day unachezea hiyo hela Kuna watu tuna laki 3 mtaji tunakunja mpaka 70000 per day
Mtaji?Habari zenu wadau.. mtaji wangu ni milioni 3-4 naombeni ushauri wa biashara ya kuweza kuniingizia kiasi cha kuanzia elfu 30 mpaka elfu 50 kwa siku.. Nina miaka 30, nipo Dar.. Jinsia Wa kiume..
Natanguliza shukrani, karibuni kwa ushauri/maoni..
Tena ni ushauri ambao sio tu ungemsaidia mtoa mada peke yake....ungemsaidia yeyote anayehitaji kujikwamua ana mtaji ila Bado hajui afanye Nini.Hatari sana, nimeshtuka, kuna thread za kujibu majibu ya kijinga, ila kuna thread sio za kujibu ujinga.
Unajiuliza mtu ameomba ushauri kwa roho safi kabisa, kwa nia njema, kama huna ushauri mzuri si bora ukae kimya. Maana thread kama hii sio aliouliza peke yake atapata faida ya mawazo, hata wasomaji tu wanaopita kimya kimya watapata faida na mawazo.
ml 3-4 uingize 50000 per day unachezea hiyo hela Kuna watu tuna laki 3 mtaji tunakunja mpaka 70000 per day
Acha maneno mengi ndio mwambie hiyo biashara unayofanyaml 3-4 uingize 50000 per day unachezea hiyo hela Kuna watu tuna laki 3 mtaji tunakunja mpaka 70000 per day
Ifikie hatua tuache Utanzania, sasa badala ya kutoa ushauri wa biashara unaanza majigambo mkuu.. sasa hapo umeshauri nini!?ml 3-4 uingize 50000 per day unachezea hiyo hela Kuna watu tuna laki 3 mtaji tunakunja mpaka 70000 per day
Muongo weweml 3-4 uingize 50000 per day unachezea hiyo hela Kuna watu tuna laki 3 mtaji tunakunja mpaka 70000 per day
Sahihi, inawezekana,tuna laki 3 mtaji tunakunja mpaka 70000 per day