Naomba ushauri wa biashara ya kuingiza 50,000 kwa siku

Muongo wewe
Ndugu @meddly , Nadhani ni vyema ukaomba ufafanuzi toka kwake, badala ya kusema wewe muongo. Hapo unakuwa hujamsaidia mleta mada na hata wana JF wengine hwanufaiki na mchango wako. Tafadhari tuwe na mawazo chanya, kile ambaco kwako unadhani kuwa hakiwezekani kwa wengine kinawezekana.

Swala ni Je inawezekana vipi??
 
Kabisa. Kwa biashara yako ya cocain, sawa, yeye anataka halali
  • Je unafahamu biashara ya kuku wa kukaanga?
  • Je unafahamu biashara ya kukaanga chips?
  • Je unafahamu biashara ya nyama ya nguruwe??
Zote hizo ni biashara ambazo kwa uwekezaji wa hicho kiais tajwa ana uwezo wa kulaza kwa uchache 70,000 au zaidi kwa siku | Kutegemea eneo husika. Hebu fikiria biashara ya kiti moto sehemu ya bar iliyochangamka. ambapo mtu anapiga kazi kuanzia saa 10jioni hadi saa 6 usiku. Je hiyo faida ya 70K haijapatikana tu.

Tutumie thread za wengine kujifunza pia, sio kuwa na mawazo hasi linapokuja swala la idea za kujiingizia kipato kwa mtaji mdogo.
 
Japokuwa Kitimoto kwangu ni haramu.. asante kwa maoni yako.
 
Post #2 Paw
Asante chief.. chips ila si mpaka upange eneo ulilipie kodi kabisa na vifaa vya kuanzia iyo shuguli
ndio ivyo na hapo pakulipia ndo kwenye pesa.pahala pa kukaa bure au kupewa maranyingi akuna ishu hapo.
usiogope akuna ugumu ni kukomaa tu na kujitoa,maana halisi ya ujasiria mali ni iyo.
CONTROLA
 
  • Je unafahamu biashara ya kuku wa kukaanga?
  • Je unafahamu biashara ya kukaanga chips?
  • Je unafahamu biashara ya nyama ya nguruwe??
Zote hizo ni biashara ambazo kwa uwekezaji wa hicho kiais tajwa ana uwezo wa kulaza kwa uchache 70,000 au zaidi kwa siku | Kutegemea eneo husika. Hebu fikiria biashara ya kiti moto sehemu ya bar iliyochangamka. ambapo mtu anapiga kazi kuanzia saa 10jioni hadi saa 6 usiku. Je hiyo faida ya 70K haijapatikana tu.

Tutumie thread za wengine kujifunza pia, sio kuwa na mawazo hasi linapokuja swala la idea za kujiingizia kipato kwa mtaji mdogo.
Ni sawa mkuu, lakini eneo lililochangamka, bar iliyochangamka manake hata gharama za uendeshaji ziko juu.

Biashara ya kukupa 70k baada ya kuondoa gharama zote sio mchezo mkuu.
 
Kuna moja nimeiona mkuu,
Unanunua mtindi/maziwa fresh Kiluvya, unaenda maeneo yaliyochangamka vizuri. Wananunua 1lt ya mtindi Tsh.1,900 na kuuza Tsh.2,500. Maziwa fresh wananunua Tsh.1,700 na kuuza Tsh.2,300.
Tena ukiwa na gari ndogo ni rahisi sana kufanya hii kazi kuanzia 18hrs hadi 23hrs.
 
Fanya utafiti wa kutoa biashara Shambani na kuleta mjini.
Fanya utafiti wa kuwa wakala au kununua bidhaa viwandani na kuuza mitaani.
Fanya utafiti wa biashara kabla ya kuifanya biashara, pia wajuwe walengwa wako. Ukitaka kufanikiwa walengwa wawe masikini hawa kila siku lazima wanunue vitu ila vitu vyao vya bei rahisi. Matajiri sio wanunuzi wa kila siku kwasababu ya mazingira ya maisha yao. Kila la kheri
 
Mhh niliambiwa hivi kabla sijaanza kuendesha bolt tena yangu ila nachokiona ni tofauti kabisaaa.
We uliambiwa mi nilishuhudia mwenyewe kwa macho miaka ya 2018-2020.

Ila siku hizi chimbo lina ushindani sana ambapo Mtu akineemeka sana anapata 80k na hata namna ya kuingia hapo lazima uwe na connection.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ni sawa mkuu, lakini eneo lililochangamka, bar iliyochangamka manake hata gharama za uendeshaji ziko juu.

Biashara ya kukupa 70k baada ya kuondoa gharama zote sio mchezo mkuu.
Maana ya eneo lililochangamka ni kwamba mauzo yatakuwa makubwa kwa hiyo faida nayo itakuwa kubwa kuweza kukidhi gharama na kiwango anachohitaji.
 
Back
Top Bottom