Naomba ushauri wa biashara ya kuingiza 50,000 kwa siku

Naomba ushauri wa biashara ya kuingiza 50,000 kwa siku

Uza shorts utatumia mtaji wa milioni 1 tu ila utaweza kulaza 30-50 ila kwa kazi ngumu sana Mkuu na nongwa hazitakosekana ila ukikomaa utaweza.

Unauza kama wauza kahawa tu, ni wewe na machimbo unawapelekea wadau ulevi kijiweni tu. K Vant, Diamond, Konyagi, Hanson Choice, ba vidude vingine ilimradi ulevi tu.

Kwenye kila chupa kubwa ukosi 2500 ni wewe tu kuchangamka.

Ila ni kazi ngumu sio masihara.

Biashara ya kuingiza 50000 kwa siku kama ni biashara yenye ofisi juamtaji hapo sio chini ya milioni 5+. Ila biashara za kutembea ndio unaweza ingiza iyo faida au kuikaribia kwa mtaji mdogo wa milioni 1-3
 
Fanya utafiti wa kutoa biashara Shambani na kuleta mjini.
Fanya utafiti wa kuwa wakala au kununua bidhaa viwandani na kuuza mitaani.
Fanya utafiti wa biashara kabla ya kuifanya biashara, pia wajuwe walengwa wako. Ukitaka kufanikiwa walengwa wawe masikini hawa kila siku lazima wanunue vitu ila vitu vyao vya bei rahisi. Matajiri sio wanunuzi wa kila siku kwasababu ya mazingira ya maisha yao. Kila la kheri
Great Thinker ndiyo vijana kama huyu jamaa sio wale wala tunda kimasihara.....
 
Boda boda wanadharaulika tu lakini nakuhakikishia hapa hapa Dar kuna chimbo Wanakunja hata zaidi ya 120K per day.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

Boda boda wanadharaulika tu lakini nakuhakikishia hapa hapa Dar kuna chimbo Wanakunja hata zaidi ya 120K per day.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
wapi huko mbona hamna hela, kuna chimbo huku mkoani watu wanakunja hadi laki 3 kwa siku
 
Habari zenu wadau,

Mtaji wangu ni milioni 3-4, naombeni ushauri wa biashara ya kuweza kuniingizia kiasi cha kuanzia elfu 30 mpaka elfu 50 kwa siku. Nina miaka 30, nipo Dar, jinsia Wa kiume.

Natanguliza shukrani, karibuni kwa ushauri/maoni.
PlayStation four 2 zinatosha
 
ml 3-4 uingize 50000 per day unachezea hiyo hela Kuna watu tuna laki 3 mtaji tunakunja mpaka 70000 per day
Ama kweli mswahili ni mswahili tu!
Sasa kama unakunja 70,000/= kwa mtaji wako wa laki 3, si umpe mawazo mwenzako anahitaji msaada wa kimawazo kuhusu biashara ya million 3-4.
Au ndio unataka kusifiwa kwamba wewe una akili nyingi kuliko mwenzio.!?
 
Back
Top Bottom