Nilitaka ni quote kipande kipande matokeo yake technology ikanipiga chenga nikakuta nime edit post yako badala ya ku'commentAhsante sana Kwa mchango wako kaka.
Kuhusu Mafundi wa Kibongo ni kweli aiseeee. Yaani gari ikienda garage Kwa ajili ya Corrective maintenance ni ngumu kurudi kwenye Hali yake ya mwanzo. Nimeshaexperience hili jambo.
Vp kwenye kubadili mguu wa jini yaani unanunua truck ambayo kiuhalisia ni 4X2 then unaibadili kuwa 6X2. Nayo hii imekaaje Mkuu?Nilitaka ni quote kipande kipande matokeo yake technology ikanipiga chenga nikakuta nime edit post yako badala ya ku'comment
Si shauri kabisa na siamini kwenye kubadili mfumo wa gari haswa kwenye steering!
Kama umenunua gari ya Lhd ,ambayo kwa sasa ni cheap kuliko Rhd , bora libaki hivyo hivyo.Mkuu, kwahyo unachoshauri ni kutozibadili kuwa RHS? Je, hazitowasumbua madereva hususani kwenye suala zima la kuovertake?
Kuna mdau huko juu alisema ni muhimu dereva wa RHS kupata somo jinsi ya kuendesha LHS. Je, wewe ulipata hilo somo? Je, ni kweli Kuna huo umuhimu?
Raha uliyojisikia ni Ipi hasa, unaweza kuelezea japo kidogo?
Hiyo haina shida sana japo hua kuna makosa yanatokea! Vipimo vikikosewa jiandae kubadili matairi mara kwa mara, kuna ulaji mbaya ambao utalazimika kurudia marekebisho na kuna ambao utaweza vumilia, hapo ni kwenye vipimo!Vp kwenye kubadili mguu wa jini yaani unanunua truck ambayo kiuhalisia ni 4X2 then unaibadili kuwa 6X2. Nayo hii imekaaje Mkuu?
Bora umekazia mkuu! Nili sahau hiyo section ya gear hua inakera sana haswa ukikumbana na Fundi Maiko[emoji1787]Kama umenunua gari ya Lhd ,ambayo kwa sasa ni cheap kuliko Rhd , bora libaki hivyo hivyo.
Kama unapenda au ni muhimu kuwa na gari ya Rhd , kwa sababu kadha wa kadha kama madereva n.k, ni bora ununue original ikiwa Rhd.
Nitazungumzia Scania ,maana nimeishi nazo, by default Design ya Scania ni Lhd , Scania za uk, ireland ,n.k ambazo ni Rhd, zimefanyiwa add on. Ie kuna parts zinaongezewa kuja upande wa kulia , mf gear link , hii huwa inatoka hapo kushoto ambapo gearstick ya Lhd huwepo kuelekea kulia , kuna air pipes za brake valve , pia huwa llinked kutoka kushoto kwenda kulia , kwa sababu hii procedure inafanywa kiwandani huwa ni salama , maana wanatumia designed parts. Hata hivyo bado scania za Rhd zina gear stick nzito kuliko za Lhd .
Nyingi nilizoziona zimefanyiwa conversion ,zinasumbua sana gear , zinasumbua sana short circuit kwa sababu ya kuhamisha fuse box , na nyingi vitu vizuri kama retarder huwa hazirudi haya kama ilikuja nayo , maana wanaofanya ile wiring uswahilini hawana uwezo wa kuirudishia kila kitu,
Mkuu umemshauri vizuri sana nakuongezea nyota ya tatu bossTafuta Howo mpya gharama za uendeshaji ni ndogo kuliko European trucks. Biashara ikikuwa ndio uende huko kwa European trucks. Trailer la double tyres ndio linabeba mzigo zaidi kutokana na sheria mpya za Tanroads(mizani) ...hawataki singles kwente barabara zao hivyo wamepunguza uzito unaoruhusiwa kwenye axles za single tyres.
Amina mkuu ubarikiweUnajua wengi tunawekeza tulicho Fanya utafiti
Mi sijawahi kumiliki roli ila nimeendesha pamoja na kusimamia
Ukiwa umepata gari nzuri Dereva mtunzani Fundi anae jua wajibu wake
Hii biashara utaipenda
Ili uweze kuifanya kwa Uhuru lazima kila Dereva awe na mkataba wa kazi utakao ondoa changamoto zisizo na ulazima kuwepo
Lazima uwe na msimamizi anae jua magari vizr
Hapo lazima utoboe
Ubarikiwe mkuu.8th Floor, CRDB Building, Azikiwe Street, Dar es Salaam, Tanzania. PO Box 20660
+255 22 2127 398
+255 : 22 2129 891
+255 22 2127 268
info@moassurance.co.tz
Piga hizo simu akuelekeze uende yard Nyerere rd nyuma Pepsi kila mtu eneo hilo anawajua ana horse kama 700 hivi kila mwezi zinaingia...trailers ziko mbagala...kila la kheri
Pamoja mkuuAmina mkuu ubarikiwe
Ahsante kaka.Mkuu nunua Shacman used au Howo utafanya Kazi nalo miaka 6 halafu litakuwa limesharudisha , Scania kwa wewe unayeanza litakuwa na changamoto kidogo. Good Luck mkuu . Ushuru wa schacman TRA 13 Million . Horse ya shacman or Howo ni $ 17000 mpaka Dar . View attachment 2566702View attachment 2566703View attachment 2566704
Ni used mkuu na ni Refurbished. Kweli wewe ni Msomi kama umeweza kuandika hili neno Refurbished basi uko vizuri kielimu mkuu . Hata saw ingine Linanishinda kutamka ila nalielewa vizuriAhsante kaka.
Ila hizo Bei za Shacman labda kama ni used wanaita refurbished. Refurbished mpaka bongo si chini ya Milioni 70. Gari za kichina unashauriwa ununue ikiwa mpya. Hivyo hizo Gharama ulizoweka ni unrealistic. Fanya Tena uchunguzi makini ndugu. Ahsante
Ushuru wa TRA mkuuAhsante kaka.
Ila hizo Bei za Shacman labda kama ni used wanaita refurbished. Refurbished mpaka bongo si chini ya Milioni 70. Gari za kichina unashauriwa ununue ikiwa mpya. Hivyo hizo Gharama ulizoweka ni unrealistic. Fanya Tena uchunguzi makini ndugu. Ahsante
Dear james, if we can catch the March vessel, for the tractor head, we can do at CIF USD$17, 200. For the used trailer, we can do at CIF USD$10, 500. That's to say, the total cost for the tractor truck and the trailer is USD$27, 700,the new flatbed trailer springs leaf you will add $2000Ushuru wa TRA mkuuView attachment 2567007
Ahsante. Sasa kununua gari ya kichina iliyotumika si Majanga hayo kaka. Option kama ni kununua ya kichina ni kuchukua brand new yaani zero kilometre. Sishauri kuchukua refurbished ya kichina ni Bora kuchukua mtumba scania.Dear james, if we can catch the March vessel, for the tractor head, we can do at CIF USD$17, 200. For the used trailer, we can do at CIF USD$10, 500. That's to say, the total cost for the tractor truck and the trailer is USD$27, 700,the new flatbed trailer springs leaf you will add $2000
Mpya ya kichina bei gani?Ahsante. Sasa kununua gari ya kichina iliyotumika si Majanga hayo kaka. Option kama ni kununua ya kichina ni kuchukua brand new yaani zero kilometre. Sishauri kuchukua refurbished ya kichina ni Bora kuchukua mtumba scania.
Thanks man , hiyo bei na ushuru mkuu ndio kitendawili brother.Ahsante. Sasa kununua gari ya kichina iliyotumika si Majanga hayo kaka. Option kama ni kununua ya kichina ni kuchukua brand new yaani zero kilometre. Sishauri kuchukua refurbished ya kichina ni Bora kuchukua mtumba scania.