Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Jaribu pia kwenda kwa MO Nyerere rd nyuma ya Pepsi uliza kwa MO yard Horse hutaamini ana scheme nenda ukatanue kichwa unalipa 30mil anayo pia trailers mbagala ukiona unaenda ofisini unalipa 39% plus bima hapo hapo mnakubalina payment mwezi .....hadi umalize anakupa warrant 6 months ....pita pita linganisha ....kuna fundi mkuu yard kwa nae sana akupe uzoefu plus engine bora kwa anaeanza kuunga unga ......tunajifunzakwa kuzungukia na info sahihi .....chukua hiyo kila heri .....matajiri wengi wapo huko ila hawataki share info za hivi ....