vipi kwa mzunguko wa biashara nyingine kama nafaka na kadhalika?Kahama wazawa wanafanya biashara kwa mazoea sana wamelewa hela...!yaan mtu anabiashara nzuri sana lakini customer care hakuna...!ukiweza kumanage hizo ishu hela itakuja km ilipotea imerudi nyumbani!
Mie naona mzunguko wa fedha upo tena mzuri sana.....!sijafatilia sana kwa nafaka lakini naamini ni mzuri...!vipi kwa mzunguko wa biashara nyingine kama nafaka na kadhalika?
Uko pande zipi kwa sasa na kwa nini umeichagua kahama
Ebu ngoja nipitie hapo kabla sijarudi Ushirombo...Niko ze fox!nayaona maisha katika mwanga bora!
Congrats nyingi kwako!Kwa huo mtaji mie naona ni Nguo hasa za kiume za mitumba ni zaidi ya grade 1!na viatu vya mtumba!
!hakuna kama kahama!sihami ng'o kahama!
Congrats nyingi kwako!
Kwa issues za Kusaka chapaa nakukubali
Nshazamia hapa kwa DAB sidhani km naweza kuondoka but napatamani Sana kahama na Masasi nifanye businessKaribu kahama![emoji28]!kwakweli nazisaka
.haya mkuu..popte kambiNshazamia hapa kwa DAB sidhani km naweza kuondoka but napatamani Sana kahama na Masasi nifanye business
Hakika.haya mkuu..popte kambi